Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
Tumekalilishwa na kumezeshwa dini kiasi kwamba hatuwazi maisha zaidi ya PEPONI tu.Uzi wako miaka 200 ijayo utasomwa na utaonekana na kila mtu , wewe ulikua mbele ya muda
Upo sawa kabisa ila kondoo wa Bwana sioni wakikuelewa bwashee 🤔Tumekalilishwa na kumezeshwa dini kiasi kwamba hatuwazi maisha zaidi ya PEPONI tu.
Kuna walioambiwa Mbinguni kuna maisha ya milele na kuna asali na maziwa milele ni kuimba na kuabudu.
Kuna hawa wengine wameambiwa watapewa wanawake 72 na nguvu za kupiga mzigo wote
Kupitia hizi dini zimedumaza maendeleo kiakili na nitaifa, watu wameacha kufanya kazi wanakesha misikitini ma makanisani wakiitafuta MBINGU.
Sipingi ila huu ni mpango 🚮🚮🚮🚮
Upo sawa kabisa ila kondoo wa Bwana sioni wakikuelewa bwashee 🤔
Dini inachangia padogo sana au niseme haichangii chochote kwenye umaskini wetu Waafrica,Africa ni maskini kwa sababu hatujitambui,hatuna akili wewe jiulize tu swali dogo serikali iliyopo madarakani iwe Tanzania au popote Africa inavyohangaika kuingia mikataba mibovu na hao weupe (EUROPE,ARABS CHINESE etc) useme hapa hiyo mikataba karne hii wanashikishwa vitabu vya dini ndiyo wanasaini au wanapewa rushwa pamoja na kukosa maono kiuongozi?Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu.
Hapa.
Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣
Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao utaishi vizazi na vizazi.
Mkuu wangapi wanafanya hayo?hawafiki hata 500K kwenye 60mill people lakini bado sisi ni masikini wa kutupwa,na hata hao ambao hawashindi huko wamefanya nini kuliondosha taifa kwenye umaskini?wamevumbua nini?wamekuja na idea gani kuondosha hili bara kwenye umaskini?Sasa mtu amashinda kwa mwamposa na hao manabii
Mitume wengine wana subiria miujizaaa
Ova
Mzungu,watu weupe kwa ujumla walituwahi na ile slave mentalityMkuu wangapi wanafanya hayo?hawafiki hata 500K kwenye 60mill people lakini bado sisi ni masikini wa kutupwa,na hata hao ambao hawashindi huko wamefanya nini kuliondosha taifa kwenye umaskini?wamevumbua nini?wamekuja na idea gani kuondosha hili bara kwenye umaskini?
Mmoja anaenda Kanisani au Msikitini masaa matatu au mawili na siyeenda Kanisani/Msikitini muda wake anapotezea bar au kushangilia mpira (ulioanzishwa na wazungu),akifanya la tofauti sana anaenda kulala au kuzini so hakuna anachokiongeza kwenye mzunguko wa maisha tofauti tu ni maeneo waliyohudhuria so muafrika aabudu au asiabudu bado hasogei popote sababu ya utando wa ufahamu uliomjaa.
😄Weak point ,anza. Kuangalia na ukoo wako mmegundua nn zaidi ya kuzaa kama bata.
Tafuta kazi ya kufanya ,kulaumu vitu havina collocation ni kukosa kazi...Hizo dini wanaofuata wafuate ,hakuna mtu unamlisha zaidi ya hao panya uliozaa na mkeo, pamoja na wazazi wako
Ebu waambie ,kuna wajinga kama wale wachokonozi wao wenyewe miaka 30 na zaidi ila wanaishi kama getto ,nyumba ya kawaida sijui ya urithi ule.Mkuu wangapi wanafanya hayo?hawafiki hata 500K kwenye 60mill people lakini bado sisi ni masikini wa kutupwa,na hata hao ambao hawashindi huko wamefanya nini kuliondosha taifa kwenye umaskini?wamevumbua nini?wamekuja na idea gani kuondosha hili bara kwenye umaskini?
Mmoja anaenda Kanisani au Msikitini masaa matatu au mawili na siyeenda Kanisani/Msikitini muda wake anapotezea bar au kushangilia mpira (ulioanzishwa na wazungu),akifanya la tofauti sana anaenda kulala au kuzini so hakuna anachokiongeza kwenye mzunguko wa maisha tofauti tu ni maeneo waliyohudhuria so muafrika aabudu au asiabudu bado hasogei popote sababu ya utando wa ufahamu uliomjaa.
Pumbavu zakoMkuu wangapi wanafanya hayo?hawafiki hata 500K kwenye 60mill people lakini bado sisi ni masikini wa kutupwa,na hata hao ambao hawashindi huko wamefanya nini kuliondosha taifa kwenye umaskini?wamevumbua nini?wamekuja na idea gani kuondosha hili bara kwenye umaskini?
Mmoja anaenda Kanisani au Msikitini masaa matatu au mawili na siyeenda Kanisani/Msikitini muda wake anapotezea bar au kushangilia mpira (ulioanzishwa na wazungu),akifanya la tofauti sana anaenda kulala au kuzini so hakuna anachokiongeza kwenye mzunguko wa maisha tofauti tu ni maeneo waliyohudhuria so muafrika aabudu au asiabudu bado hasogei popote sababu ya utando wa ufahamu uliomjaa.
Tatizo uchumi na dini havina mafungamano.Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu.
Hapa.
Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣
Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao utaishi vizazi na vizazi.
Ongea kwa fact bro provoking language hata mimi nazijua tukisema wote tuwe na akili hizi hatutaelewana,sawa nyie msiokuwa na dini mnaofanya biashara za kuuza kitimoto mna nini kuwazidi wenye dini wanaoona haramu kuuza kitimoto?Pumbavu zako
Unadhani watanzania wangapi wana dini ?
Dini zinakataza watu wasijihusishe na biashara za kuuza kitimoto huoni kama inaongeza umasikini?