Afrika Kusini yalia na ongezeko la Ukimwi

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,805
1,873
Jumla ya watu wote wenye HIV ni milioni 7.2 nchini Afrika kusini
Utafiti umewafuatilia watu 730000 wenye umri kati ya mwaka 1 -19, wale wenye umri wa miaka 15 - 19 wanaopata huduma ya afya (ushauri nasaha) ni mara 10 zaidi ya mwaka 2010. Hayo yameandikwa katika Gazeti la LANCET HIV JOURNAL.

9/10 ya wanaotafuta huduma (ushauri nasaha) ya afya ni akina dada.

Ongezeko la ugonjwa huo ndani ya Afrika kusini ni mkubwa sana. Ni hatari kwa nchi ambayo inaongoza kiuchumi Afrika kushindwa kabisa kuwa na mkakati wa kupunguza kuzuia kwa maambukizi wa ugonjwa huo.
 
Ila ukimwi tunaopata waafrika wengi umefichwa patamu sana.
 
Makaburu wanahakikisha hadi 2050 ngozi nyeupe iwe imeitawala S.Africa kwa idadi ya robo tatu ya raia wote!!!!
 
Wasouth wanapendasana anasa hasa clubing na michezo ya beach! Ni wanywaji waziri sana wa pombe na wavivu kufanya kazi!

Weekend madem wengi wanatoka botswana na swazland kuja kufanya starehe S.A . Wanafunzi wa south wako huru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…