Afrika Kusini nipakutembelewa tu

Afrika Kusini nipakutembelewa tu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Mzuqa wanaJF,

Hii nchi lazima nifike tuu hamna namna Dah! Nadhani Mungu alipapendelea Sana huu ukanda. Nakuja huko lazima nifike Akina Isanga family Na marafiki zake ONTARIO muda siyo mrefu natinga huko. Yani hamna namna!
Screenshot_20180403-181821.png
Screenshot_20180403-181726.png
Screenshot_20180403-181615.png
Screenshot_20180403-181609.png
Screenshot_20180403-181716.png
Screenshot_20180403-181152.png


Wondering up and down the streets of Soweto no place to call my home. I tried to find you many years ago but the woman you married to was not good at all...

R.I.P Mama yetu

Mimi Julius sello Malema wa bongo
 
Nitaanzia Roben Island, Cape town table mountain, Soweto, Kruger national Park, kaburi la Madiba halafu nakutana na Malema.
 
Nitaanzia Roben Island, Cape town table mountain, Soweto, Kruger national Park, kaburi la Madiba halafu nakutana na Malema.
Siku ya kumtembelea Lema, nijulishe nikufikishe pia kwa Floyd shibambu, Hlengiwe shope, Ghadi au Dr. ndlozi.
 
Aiseee ni papuchi tuu vijana wanawaza
 
Siku ya kumtembelea Lema, nijulishe nikufikishe pia kwa Floyd shibambu, Hlengiwe shope, Ghadi au Dr. ndlozi.
mkuu unadhani nacheza Niko serious Sauz LAZIMA nifike. Ntakutafuta
 
Karibu sana. Note: wadada wa huku wengi ni wakarimu na ukimwi ni njenje.
ukimwi tuu hii kitu Kama umeandikiwa utaipata utaipata tuu.
Mimi zamani nilidhan kabila Ni moja Sauz wazulu. Ila baada ya kumfuatilia Malema bungeni sakata la Zuma Na Gupta ikabidi nichimbe Zaid KWENYE Google. Ni nchi ambayo ukiwa Na uchumi wa Kati UNAWEZA ukaishi vizuri sana kwasababu Ni affordable.

Ila watoto Sasa lazima nifike huko
 
Karibu mkuu Water front utafika hapo Kuna Victoria na Alfred utakapotaka kuelekea Robben island na pia Kuna sehemu inaitwa fish hoek huko bahari mbili zinapokutana Indian ocean na hiyo yenye cold current ni bahari ya baridi haswa kuna mstari unaonyesha ya huku na kule ni pazuri...sehemu zipo nyingi
 
Capetown pako bomba sana

Watoto wakaliii
Ukiwa na hela za mawazo au km huna hela sawasawa unaweza pia wapata kwa macho. ... huko hakuna "I love yu " ni mwendo wa hau machi yu hevu goti mayi frendi. ...... kunzima e Sata frika.
 
Back
Top Bottom