Afrika Kusini kuwafungulia Mashtaka Raia wake wanaopigana upande wa Israeli huko Gaza

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,621
15,949
Hivi sasa serikali ya Afrika kusini imetangaza ni kosa kisheria kwa raia wa nchi hiyo kusaidia kupigana upande wa majeshi ya Israel huko palestina na kwamba kwa yeyote atakayetiwa hatiani atashtakiwa.

Nashauri huu msimamo ungetangazwa pia na serikali yetu ili kuzuia watu wanaoenda kwa mgongo wa masomo au kufanya kazi halafu wanajiingiza kwenye kazi ya upiganaji.

Screenshot_20240207_115012_X.jpg
 
Watu wanaojielewa hao sio kwetu huku mtu anajifanya kwenda kusoma kumbe anaingizwa kwenye jeshi anauawa then wanakuja wajinga wanamlilia na kuwalaumu HAMAS.
Nyie hizo roho mbaya zenu haziwezi kuwasadia, kijana kutekwa October 7, kwenye mnakosa hata uzalendo kwa wananchi wenu eti mnatetea magaidi hamas? Hata hamjui history, South Africa Ina wayahudi wengi wa kizungu, umesikia hata Elon Musk ni mzungu mwenye asili ya kiyahudi, kwa South Africa inawezekana hao wayahudi wanaenda kupigana nchini Israel lakini sisi hapa Tanzania hatuna wayahudi ambao ni wakazi wa Tanzania kama walivyo waarabu na wahindi watanzania.
 
Mmeanza kujipendekeza kwa musk hahahaha
 
Back
Top Bottom