Mkuu ukiangalia picha hizo mbili,ya kwanza mtawaliwa alitawaliwa kwa hofu ya kifo maana mtawala ana bunduki.Picha ya pili mtawala ana mikataba tu na mtawaliwa anaonekana amestaarabika maana amevaa vizuri.Mtawaliwa katawaliwa bila hofu ya kifo bali elimu yake ndio iliyo mfanya aingie mikataba ya hovyo hovyo na kuwa mtawaliwa.Yupi kati ya hao atajitetea akasikilizwa jamii?tungejitetea nini mkuu