Wapigania UHURU walihadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara zaidi ya wakati wa mkoloni. Viwanda, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari.Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,kwani maisha yalikuwa bora ajira tele mashambani, viwanda, elimu, afya miundombinu zilikuwa bora kabisa, huku wakulima wakiwa na uhakika kabisa pa kuuzia mazo yao bila shida kabisa.
Afrika inazama. Mugabe, kamuzu banda, savimbi ni waafrika tena wasomi wa juu walizitumia elimu zao kuzibomoa nchi zao.
Kipi cha maana alichowafanyia watu wakeUnamjua vizuri Savimbi,au umekaririshwa tu !
Alipigania kuitoa Angola kwenye mikoni ya Mafisadi,mpaka dakika ya mwisho ya maisha yake,na aliuawa AKIWA ameshika Ak 47 yake!Kipi cha maana alichowafanyia watu wake
Ndio yale yale ya mwendazakeUnamjua vizuri Savimbi,au umekaririshwa tu !
Hamna kitu hapo hata Hapo Uganda kuna wanaomuona M7 kama Savimbi🤣🤣Alipigania kuitoa Angola kwenye mikoni ya Mafisadi,mpaka dakika ya mwisho ya maisha yake,na aliuawa AKIWA ameshika Ak 47 yake!
Unafikiri ni Kwa nini maiti yake imefukuliwa na kuzikwa upya Kwa heshima Kitaifa!
Hii ni baada ya ukweli kujulikana...Hata Nyerere aliwahi kujutia kumuunga Mkono fisadi Do Santos!
Fukua hizi habari usikaririshwe!
Din hazihusiani ingekua hivyo wapagani ndo wangekua matajiri.Hizi dini za kuletewa huoni kama linazamisha taifa letu, watu wamekuwa wajinga kupindukia wakiamini vitu that do not make any sense to us wala kwa hao waliotuletea.
Mbona kaua watu wasio na hatia,kabomoa miundombinu yenye maslai ya watu, kwann asingeua mafisadi tu.Alipigania kuitoa Angola kwenye mikoni ya Mafisadi,mpaka dakika ya mwisho ya maisha yake,na aliuawa AKIWA ameshika Ak 47 yake!
Unafikiri ni Kwa nini maiti yake imefukuliwa na kuzikwa upya Kwa heshima Kitaifa!
Hii ni baada ya ukweli kujulikana...Hata Nyerere aliwahi kujutia kumuunga Mkono fisadi Do Santos!
Fukua hizi habari usikaririshwe!
Mbona kaua watu wasio na hatia,kabomoa miundombinu yenye maslai ya watu, kwann asingeua mafisadi tu.
Kwann alikataa kuwa Makamu wa raisi Ili awashughulikie mafisadi.
Savimbi alikuwa ni mbinafsi wa hali ya juu , kilichomua ni udabo agent anatumika na Mrusi kwa siri wakati huo huo anatumika na USA ilipojulikana siri, bullets za kutosha ndo chakula chake awahi kuzimu kumtumikia lucifer, kama mobutu.
Kwamba Uingereza ukristo ulishuka kama MANNA zilivyowashukia Mussa na kundi lake jangwani?.Tunazama kwenye ujinga na kufuata dini/imani za kuletewa ili tutawalike vizuri zaidi tukiamini vya kuletewa na wenzetu ndiyo mali zaidi. Tukiendelea kupeleka watoto wetu na kuwaaminisha kuwa madrasat ni bora kuliko elimu basi tumekwisha.
Unfortunately Mungu hashughuliki na wapumbavu.Ni kumuachia Mungu tu.
Hatuna la kufanya coz is too late.. Africa itabaki nyuma hadi jua litakapopatwa na supernova.Nini la kufanya?
Kama Mafisadi wamejichanganya na hao wasio na hatia ,utatanyaje!
Hivi Ufisadi aliofanya Dos Santos uneua watu wangapi?!
Yeye alikuwa anapigania maslahi ya Umma sio Umakamu wa Rais!
Kuna Kiongozi yoyote Dunia ya Tatu ambaye alikuwa hafungamani na Mabeberu ,aidha wa Mashariki au Magharibi,au wote...haijalishi Rangi ya Paka ilimuradi anawanasa panya!
[/QUOTE
Thus zilipigwa kura wananchi wakamchagua Do santos na sio Savimbi,kama hakuchaguliwa kwann alazimishe kuongoza na kutaka kuitoa serikali halali ya Do santos
Hahaha mkuu unawaita waafrika wenzako wapumbavuUnfortunately Mungu hashughuliki na wapumbavu.
Na mimi nikiwemo😂😂.Hahaha mkuu unawaita waafrika wenzako wapumbavu
Kubadili mfumo wa uongozi.Uliopo hauwezi tuvushaNini la kufanya?
Aka ...acha wale blaza!Let them eat brother..
Let them eat brother,Aka ...acha wale blaza!