Afrika imerogwa na nani?

Afrika imerogwa na nani?

Huu mfumo ni wa Dunia nzima...

Hakuna nchi iliyo salama na haya mambo... hakuna binadamu mkamilifu

Tumeona mengi sana kuanzia huko kwa nchi za asia, nchi za ulaya na marekani

Mifano ni mingi sana... Juzi sakata linalo endelea ni kumuondoa mwana mama wa umoja wa ulaya kwa kula rushwa kutoka uarabuni huko

Wakina Platin na Blatter wameondolewa kwa kashfa kama hizo

Wakina messi, neymer nk wamekutwa na makosa yanayo fanana na hayo

PSG imevunja sheria mbalimbali za financial lakini kwa nguvu ya pesa imeweza kukwepa lungu...

Korea na japan wamekutwa na mambo kama haya sana, huko amerika ya kusini ndio balaa...

Urusi tume jionea kwa vipindi tofauti vya kiutawala kwa kurejeshana madarakani kishikaji ili kuendelea kula nchi...

Na nchi zingine za western europe...

Rais na councellor schortz wa ujerumani wana chunguzwa kwa viashiria kama hivi, hasa bwana schortz kipindi alikuwa kiongozi pale hamburg...

Familia za kifalme kuanzia uingereza, spain, uholanzi nk zina pigwa vita na wananchi wao sababu ni hizi za kujilimbikizia mali na madaraka...

Huko marekani kuanzia CIA mpaka ikulu ni majanga matupu... mabosi kadhaa wa CIA walisha wahi kukutwa na tuhuma kama hizo, na marais kadhaa walitumia vyeo vyao vibaya kama huyu ndugu Trump kukwepa kodi nk...

Haya mambo ni dunia nzima... sema wengine wana shindwa kucheza karata zao vyema ndio maana wanakutwa na majanga kama wakina

Al bashir kakutwa na mapesa ndani
Wakina gadaf
Huko misri tunisia na kwa mfalme wa morocco ni yaleyale kama ya nchi zingine na urusi juzi walivyo kuta pesa za tani kadhaa kwenye shangazi kaja...

Waafrika tuna jizalau sana... dunia ni hii hii haina yofauti, yofauti ni jinsi ya kujilemba lakini ndani huko takataka ni zilezile, mavi, mikojo, kamasi, mate nk
Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.
 
Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.
Jitahidi uwe sehemu ya mabadiliko...
 
Huyo wa Cameroon nilisikia anaishi uswiss ili kulinda afya yake.

Eti Hali ya hewa ya huko ulaya ndo sahihi kwa afya yake na changamoto zake za kiafya[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Niliwahi kuwaza kama wewe lakini nikaona ni ngumu ku import viongozi.

Tatizo ni wote tuu sio viongozi peke yao.

Shortly watu weusi hatuko sawa ata kama tunahisi tuko sawa..
Binadamu weusi tuko kwenye existence kwa bahati mbaya.

Mwenzio akikaa madarakani akatengeneza vizuri baadhi ya mambo wewe ukija unayatangua.

Hasa sheria ni muhanga wa saratani hii. Unatunga sheria ya kulinda jambo fulani, ukimpisha mwenzio kiti anaipindua hiyo sheria kwa maslahi yake na ukoo wake na wanamtandao wake.
 
Tatizo ni wananchi wa Afrika, wana vifua vikubwa sana vya kuvumilia watawala wajinga wajinga.
Siyo kwamba wanazidiwa nguvu na vyombo vya dola? Hata babu zetu walikuwa hivi hivi wasidai uhuru kwa kuhofu mijeledi, kunyongwa, kupotezwa na jela hadi walipogundua thamani kubwa ya vifo vyao kwa manufaa ya vizazi vyao (sisi) ndiyo wakakubali kujitoa sadaka na kubeba zana za jadi kumngo'a mkoloni?
 
Africa haijawahi pata uhuru, bali wakoloni walibadilisha jinsi ya kuitawala Africa...Wakaweka vibaraka kwa akili sana ili waendelee kututawala kupitia hao....Its so saaad!

Mpka Africa ipate uhuru wa kweli, ndipo tutapata mifumo thabiti ya kutuongoza...Vizazi vya leo visipong'amua haya vitaendeleza statusquo
Mkuu.

Naomba kuifremu hii philosophy yako niweke ukutani kwangu. Inafaa kuingizwa kwenye mtaala wa masomo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
  • Ian Khama - Ufisadi, silaha na utakatishaji fedha.
  • Cyril Ramaphosa - Utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na ujangili, akihusishwa na Arthur Fraser.
  • Jacob Zuma - Matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali, ameponzwa na state capture ya Ajay Gupta.
  • Paul Biya - Umri miaka 90 ameng'ang'ania ikulu.
  • Isabel Dos Santos - Tajiri mwanamke Afrika.
Afrika ni tamu sana kwa wenye madaraka na ukwasi lakini ni shubiri kwa hustlers. Vipi tu-import viongozi toka Ughaibuni?

Afrika imerogwa na nani?
Naushambaa
 
Siyo kwamba wanazidiwa nguvu na vyombo vya dola? Hata babu zetu walikuwa hivi hivi wasidai uhuru kwa kuhofu mijeledi, kunyongwa, kupotezwa na jela hadi walipogundua thamani kubwa ya vifo vyao kwa manufaa ya vizazi vyao (sisi) ndiyo wakakubali kujitoa sadaka na kubeba zana za jadi kumngo'a mkoloni?
Wananchi wameridhika na hali zao za maisha ndio maana wanalalamika kwenye keyboard then wanaenda kucheza singeli.
 
Africa haijawahi pata uhuru, bali wakoloni walibadilisha jinsi ya kuitawala Africa...Wakaweka vibaraka kwa akili sana ili waendelee kututawala kupitia hao....Its so saaad!

Mpka Africa ipate uhuru wa kweli, ndipo tutapata mifumo thabiti ya kutuongoza...Vizazi vya leo visipong'amua haya vitaendeleza statusquo
Naona kuna ukweli flan hapa
 
Binadamu weusi tuko kwenye existence kwa bahati mbaya.

Mwenzio akikaa madarakani akatengeneza vizuri baadhi ya mambo wewe ukija unayatangua.

Hasa sheria ni muhanga wa saratani hii. Unatunga sheria ya kulinda jambo fulani, ukimpisha mwenzio kiti anaipindua hiyo sheria kwa maslahi yake na ukoo wake na wanamtandao wake.
Sio poa kabisa, mfano mdogo tuu ndani ya nchi moja kuna shule imeezekwa kwa nyasi au kijiji fulani hakina maji lakini viongozi wananunua magari ya kifahari ya 556 billions kwa mwaka mmoja, kwa akili ya kawaida tuu na kuangalia vipaumbele je hapo kuna kiongozi anaewaza sawasawa kweli? Na hii ata ukienda Haiti nchi ya America ya kati sijui kusini ambapo 95% ya population ni black matatizo ni yaleyale.. There is something wrong somewhere
 
Shortly watu weusi hatuko sawa ata kama tunahisi tuko sawa..
But the reason sio evolution au biological....Reason is psychological...wazungu wameweka institutions kama Elimu na mitaala tunazosoma, sera zao, puppet leaders, hata media tunayoacces.

So actually there is a way out. But watu weusi wachache sana wanafikia hiyo stage (way out sio kupata hera nyingii)...Wengine ni billioneas (eg. MJordan, JayZ, CCM) lakini bado ni puppets wa system.

Way out, ni psychological, kuamini kichwani wewe ni sawa au bora kuliko wazungu.
Ukianza wewe ukawaambukiza wawili jirani yako na mimi huku nikakusaidia...Soon in 10 generations Africa itakuwa na watu weusi wanaojiamini na kujielewa..
Wanaotanguliza maslahi ya nchi zao na watu wenye rangi kama wao, na kuweka matumbo yao pembeni.
 
Wananchi wameridhika na hali zao za maisha ndio maana wanalalamika kwenye keyboard then wanaenda kucheza singeli.
Nyerere alikosea pakubwa kutufundisha utii bila kuhoji. Hakujuwa madhara yake kwetu kwa baadaye au alifanya makusudi ili yeye atawale bila kupingwa kama Sir Richard Gordon Turnbull.
 
Sio poa kabisa, mfano mdogo tuu ndani ya nchi moja kuna shule imeezekwa kwa nyasi au kijiji fulani hakina maji lakini viongozi wananunua magari ya kifahari ya 556 billions kwa mwaka mmoja, kwa akili ya kawaida tuu na kuangalia vipaumbele je hapo kuna kiongozi anaewaza sawasawa kweli? Na hii ata ukienda Haiti nchi ya America ya kati sijui kusini ambapo 95% ya population ni black matatizo ni yaleyale.. There is something wrong somewhere
Wrong in the colour by 99% and brain by just 10% all at home in Africa here. Kwa sababu ughaibuni watu weusi wanafanya vitu vya kutisha, angalia sekta ya soka kama mfano.
 
Back
Top Bottom