Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,599
- 14,067
Yeye alifanya nini wakati wake kwa zaidi ya miaka 24 au aliishia kuikimbia ikulu ?Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao,lakini tumeukaria' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa,kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo,kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu wenyewe.
Kuipatia Tanganyika uhuru ni moja ya historia yake isiyo weza kufutika na kusahaulika hapa duniani.Yeye alifanya nini wakati wake kwa zaidi ya miaka 24 au aliishia kuikimbia ikulu ?
Tanganyika haipo alikuwa mpumbavu.Kuipatia Tanganyika uhuru ni moja ya historia yake isiyo weza kufutika na kusahaulika hapa duniani.
Kwanini unamuita Baba wa taifa mpumbavu ?heshima ni kitu cha bure mkuu.Tanganyika haipo alikuwa mpumbavu.
Huwezi iuza nchi yako ukawa na akili timamu.Kwa
Kwanini unamuita Baba wa taifa mpumbavu ?heshima ni kitu Clcha bure mkuu.
Nang'atukaMwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao,lakini tumeukaria' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa,kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo,kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu wenyewe.
Lakini kwa sababu ya upumbavu,ukosefu wa maarifa, ubinafsi na kupenda vya kupewa bure au vya nafuu mfano ni hii mikopo ya riba nafuu.Viongozi wetu wamekuwa makuwadi na madalali wa rasilimali zetu(Madini,gesi,Wanyamapori,misitu,ardhi nk) kwa mataifa ya kigeni,kwa kile wanacho dai kudumisha ushirikiano katika sekta za kimkakati na kutafuta wawekezaji na uhisani.Tabia hii ndo imezaa makongamano ambayo nchi zenye uchumi mkubwa mfano USA,Urusi,China nk wamekuwa wakiwaita viongozi madalali na makuwadi wa rasilimali za nchi zao,kwenda kusaini mikataba ya kinyonyaji,kifethuli na kibaradhuli,pasi kuangalia maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Ni jambo la aibu,fedhea na dhihaka mtu kuwa katika utajili alafu Kutwa kutembeza bakuri ughaibuni,huku ukitambua wazi kabisa kufanya hivyo ni kuuza uhuru wako,utu wako na watu wako,hili hata Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi (rip) wa Tanzania kasha wahi sema.
Ni Afrika pekee ambayo viongozi wa nchi wanajisifu nchi zao kuwa na sifa ya kukopesheka badala ya kujisifu ni kwa namna gani matumizi bora ya rasilimali zilizipo katika nchi zao zimeweza kubadili maisha ya raia wao na mageuzi katika kila sekta na mwisho kutoa mikopo kwa nchi hitaki.
Na,kitu kibaya zaidi nao baadhi ya wadau kutoka bara la Afrika na wengi wao wakiwa wasomi wazuri kabisa,wana hoji na kulalamika juu ya kiwango kidogo Cha pesa kinacho tolewa na mataifa makubwa kwa ajili ya kugharamia miradi ya kimaendeleo barani Afrika,huu ni upumbavu na uzuzu.Toka lini nguo ya kuazima kwa jirani ikawa yako milele ? Au toka lini mpangaji wa vyumba akampagia kiwango cha Kodi Baba/Mama mwenye nyumba? Hawa ndo aina ya wasomi ambao bwana Denis Mpagaze aliwaandika katika kitabu chake cha "Wasomi Huru Gerezani"
Hakuna taifa duniani ambalo wananchi wake wanavuja jasho na damu kulipa Kodi kwa maendeleo ya taifa lao,wakubali kukupa pesa ya kufanya maendeleo makubwa wewe uliye mvivu wa fikra,Kazi,ujuzi na maarifa.Mikopo yote toka nchi zenye uchumi mkubwa malipo yake ni kuchuma rasilimali muhimu kwa ajili ya ujenzi wa nchi zao,uku sisi tukibaki na mashino na mikataba ya kinyonyaji.
Hawa viongozi wetu ipo siku wakisha maliza kuuza rasilimali zote za asili,watageukia kuuza rasilimali watu.
Mkuu nadhani huu sio muda wa kutupa lawama kwa sababu tusha tambua wapi kwenye mkwamo,toa ushauri nini kifanyike.Huiwezi iuza nchi yako ukawa na akili timamu.
Stupidity is a lack of intelligence, understanding, reason, or wit, an inability to learn.
Huyo Mzee hayupo duniani tena mkuu, tatizo kubwa tulilo nalo leo hii ni hawa viongozi wetu kuwa makuwadi na madalali wa mali zetu.Yeye alifanya nini katika miaka 24 .?
Ukilinganisha na wakoloni na yeye nani aliweza kuiletea Tanganyika maendeleo.
WAKOLONI walituletea maendeleo kuliko maumivu.Yeye alifanya nini katika miaka 24 .?
Ukilinganisha na wakoloni na yeye nani aliweza kuiletea Tanganyika maendeleo.
Duu ila kwenye gas β½ wahusika Mungu anawaona yaani tuna gesi yetu lakini tunayo tumia kwasasa inatoka nje? Kweli hata kama ni kujizima data, lakini imepitilizaMwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo, kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu wenyewe.
Lakini kwa sababu ya upumbavu, ukosefu wa maarifa, ubinafsi na kupenda vya kupewa bure au vya nafuu mfano ni hii mikopo ya riba nafuu. Viongozi wetu wamekuwa makuwadi na madalali wa rasilimali zetu(Madini, gesi, Wanyamapori, misitu, ardhi nk) kwa mataifa ya kigeni, kwa kile wanachodai kudumisha ushirikiano katika sekta za kimkakati na kutafuta wawekezaji na uhisani.
Tabia hii ndio imezaa makongamano ambayo nchi zenye uchumi mkubwa mfano USA, Urusi, China nk wamekuwa wakiwaita viongozi madalali na makuwadi wa rasilimali za nchi zao, kwenda kusaini mikataba ya kinyonyaji, kifedhuli na kibaradhuli, pasi kuangalia maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Ni jambo la aibu, fedhea na dhihaka mtu kuwa katika utajiri halafu Kutwa kutembeza bakuli ughaibuni, huku ukitambua wazi kabisa kufanya hivyo ni kuuza uhuru wako, utu wako na watu wako, hili hata Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi (rip) wa Tanzania kashawahi sema.
Ni Afrika pekee ambayo viongozi wa nchi wanajisifu nchi zao kuwa na sifa ya kukopesheka badala ya kujisifu ni kwa namna gani matumizi bora ya rasilimali zilizipo katika nchi zao zimeweza kubadili maisha ya raia wao na mageuzi katika kila sekta na mwisho kutoa mikopo kwa nchi hitaki.
Na kitu kibaya zaidi nao baadhi ya wadau kutoka bara la Afrika na wengi wao wakiwa wasomi wazuri kabisa, wanahoji na kulalamika juu ya kiwango kidogo Cha pesa kinachotolewa na mataifa makubwa kwa ajili ya kugharamia miradi ya kimaendeleo barani Afrika, huu ni upumbavu na uzuzu.
Toka lini nguo ya kuazima kwa jirani ikawa yako milele? Au toka lini mpangaji wa vyumba akampagia kiwango cha Kodi Baba/Mama mwenye nyumba? Hawa ndo aina ya wasomi ambao bwana Denis Mpagaze aliwaandika katika kitabu chake cha "Wasomi Huru Gerezani"
Hakuna taifa duniani ambalo wananchi wake wanavuja jasho na damu kulipa Kodi kwa maendeleo ya taifa lao, wakubali kukupa pesa ya kufanya maendeleo makubwa wewe uliye mvivu wa fikra, kazi, ujuzi na maarifa. Mikopo yote toka nchi zenye uchumi mkubwa malipo yake ni kuchuma rasilimali muhimu kwa ajili ya ujenzi wa nchi zao, huku sisi tukibaki na mashino na mikataba ya kinyonyaji.
Hawa viongozi wetu ipo siku wakishamaliza kuuza rasilimali zote za asili, watageukia kuuza rasilimali watu.
Taifa liliimbishwa neema na nafuu ya umeme wa gesi,kumbe makuwadi na madalali washa kula chao mapema.Mwisho leo hii ni mapambio ya umeme wa maji.Duu ila kwenye gas β½ wahusika Mungu anawaona yaani tuna gesi yetu lakini tunayo tumia kwasasa inataka nje? Kweli hata kama ni kujizima data, lakini imepitiliza
Hiyo gesi unaweza kuta huko chini kwa chini wameunganisha mitambo tayari gesi inaenda kwao, mimi nilishangaa eti mitambo iko uingereza inaona nini kinafanyika Tanzania kwenye mradi wa gesiTaifa liliimbishwa neema na nafuu ya umeme wa gesi,kumbe makuwadi na madalali washa kula chao mapema.Mwisho leo hii ni mapambio ya umeme wa maji.
Naunga mkono hoja tena Mwalimu Nyerere alisisitiza hakuna umasikini mbaya kabisa kama umasikini wa fikra!. Jambo hili niliwahi kuliulizia Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo, kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu wenyewe.
Lakini kwa sababu ya upumbavu, ukosefu wa maarifa, ubinafsi na kupenda vya kupewa bure au vya nafuu mfano ni hii mikopo ya riba nafuu. Viongozi wetu wamekuwa makuwadi na madalali wa rasilimali zetu(Madini, gesi, Wanyamapori, misitu, ardhi nk) kwa mataifa ya kigeni, kwa kile wanachodai kudumisha ushirikiano katika sekta za kimkakati na kutafuta wawekezaji na uhisani.
Tusubiri kuamrishwa muda wa kulala na kuzurulaNext 6 years..
What will we have left!?
ππ
KinkutMkuu nadhani huu sio muda wa kutupa lawama kwa sababu tusha tambua wapi kwenye mkwamo,toa ushauri nini kifanyike.
Wewe na CCM wenzako ni tatizo kubwa snNaunga mkono hoja tena Mwalimu Nyerere alisisitiza hakuna umasikini mbaya kabisa kama umasikini wa fikra!. Jambo hili niliwahi kuliulizia Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!
P