Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,996
Reaction score
13,532

1758823533177.png

Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo?

Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
 
Kuna vyama vinatawala kutokana na ujinga na uoga wa wananchi wao. Hakuna nchi inayotumia cohesive apparatus zake, wananchi wakaamka na hizo apparatus zikawashinda wananchi. Nguvu ya wananchi ndio chanzo cha mabadiriko duniani kote
 
Back
Top Bottom