Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Sep 6, 2012 #3 Ndo maana utashi unawashinda wazungu, wanakuja kupiga kambi Afrika.
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 Sep 6, 2012 #4 huyo dada mwenye kichanga nimekubali!!!!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 7, 2012 #5 huyo juu ya nguzo hiyo simu anayopokea akiambiwa mwanae kafa itakuwaje shauri yake.
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 7, 2012 #6 huyo wa nyoka kamasi na jasho vinamtoka kuonesha shughuli aifanyayo yataka moyo.