Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Namkubali Graca Masheli Mandela.....wengine wote upupu...
 
Gabon- First Lady




Huyu hapo chini kwenye link ni mamaa Edith Sassou Ngusso a.k.a Edith Omari Bongo,alikua mke wa rais wa omari bongo wa gabon na pia ni binti wa rais dennis sassou nguesso wa congo brazaa,Edith na mzee bongo kwa sasa wote ni marehemu.

Gonga hapa upate mapicha yake,alitokea ikulu ya babake huko kwao congo akaenda kuolewa ikulu ya gabon!
Hommage à Edith-Lucie Bongo par Eric Boumi - YouTube
 
Heee mimi nasepa. No comment. Asavali Mama Mugabe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…