Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

Mimi niitunge wewe muulize yeye kazaliwa itunge ya nyibuko ndiko babu alikuwa Na mke mkubwa
 
mgombea pekee atakayeshinda kyela ni yule atakayesimamishwa kwa tiketi ya UKAWA tu , ccm ilikwishaagwa kyela .
 
Anaweza jaman kama elimu anayo tatizo nini ila sema chama gani ngoja nitamuuliza chama atakacho gombea
 
Anaweza jaman kama elimu anayo tatizo nini ila sema chama gani ngoja nitamuuliza chama atakacho gombea

Issakwisa unampigania sana huyu Afrika unamaslai naye nini!umekuwa mtu wa kumtetea sana!hivi unavyo mfahamu huyu jamaa kweli anao uwezo wa kuwa kiongozi?kuwa muwazi Na mkweli katika hilo maana wengine tunamjuwa sana huyu kiazi kuliko wewe!
 
Back
Top Bottom