Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali

Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!

Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA

Kwahiyo unapiga debe kwa mwakalinga bila kuja na hoja humu. Acha kutumika Kijana twambie ana mipango gain name Kyela? Usifikiri wanakyela wanakula radio yake ya Kyela FM.

Njoo name hoja humus tuzipime.
 
Africar kaifanyia nn Kyela?Kaifanyia nn Kapwili?Africar hajaonyesha chochote cha kumpa kura hata kijijini kwao Kapwili

Africar nitamshinda kwenye uchaguzi wowote Kyela!Africar atakuwa wa mwisho kura za maoni Kyela kwa CCM na hata akienda CHADEMA
 
Unajua watu kama ninyi ni wa kuonewa huruma kwavile hamjitambui.

Hivi wewe unaweza kupima uwezo wa Africar Kagema kwa uwezo upi ulionao?

Kama Africar angetegemea kura yako nisingemshauri aingie kwenye siasa.

Kaa chini ujipime uwezo wako kwanza kabla ya kutumika Kijana.

Hivi unaweza ukanimbia uwezo alionao huyo mpakwa mafuta wako Afrika kagema?kaka Bahati mbaya sana Mimi huwa hakuna anaye weza kunitumi hata siku moja kwa sababu Niko huru kifikla na kimtazamo!na siko hapa kwa ajili ya siasa za kishabiki kama wewe ambaye unajuwa kuwa kuna kutumika katika siasa!!hivi wewe na akili zako kabisa umekaa na kuja humu na kutaka kuuaminisha umma wa wana Kyela eti wanamuitaji Afrika duhh embofu syamandeleni kange!! Huyo mtu wako hana uwezo wa kuwa kiongozi hata wa dakika moja Ndugu yangu!!sasa kama huyo ni mtu wako wa karibu na kakutuma uje umpigie kampeni humu!!kamuulize kilimpata nini wakati anataka kugombea uongozi wa chuo pale CBE!na akwambie ukweli asikufiche hata kidogo!!kifupi ni kwamba Mimi uwezo wangu ni mdogo sana lakini Bahati nzuri namshukuru mungu kwani najitambua sana!!ila pole sana kwako maana mwenzangu hujitambui na huyo jamaa atakutumia kama toilet paper shauli yako take care brother safari ni ndefu!!.Afrika hana uwezo wowote kifikra na kimtazamo na kibaya zaidi hajajitambui!!!
 
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali

Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!

Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA

Afrika kagema kazaliwa pale kapwili shule ya msingi kwa baba yake marehemu Mzee Tonono MWASONGWE kagema na mke wake kyambiki!!lakini Leo hii Afrika hawezi hata kugombea uwenyekiti wa kijiji kile na akapata kwani hata pale kijini kwao hakuna anaye mkubali kwa lolote!!sasa sijuwi kwa suala la ubunge itakuwaje?Mimi naogopa sana kitu kimoja!watu sijuwi kwa nini huwa hatuambiani ukweli!sasa Mimi naomba niseme tu ukweli kwamba Afrika Tonono Kagema suala la ubunge wewe siyo saizi yako brother pamoja na kuwa ni Haki yako kikatiba lakini ubunge wewe huwezi kwa kifupi hutapata nakushauli wewe uendelee tu na taaluma yako ya Uhasibu amabayo nayo inakushinda lakini kwa kuwa ni kitu umekisomea hakuna anayeweza kukupokonya!ubunge wewe huwezi!!!
 
Mkuu huyu nilikuwa nae Itope kwa miaka 4!HANA uwezo wowote kiuongozi na namjua sana maana ndiyo sisi tulimpa uongozi Itope ingawaje Mwl Mwakipesile akamvua madaraka!

Huwa nawasiliana nae mara kwa mara lkn siwezi kumpa kura yangu maana hana uwezo
 
Kwa Maelezo yako inaonekana huyu jamaa alikuwa anamkaba koo Mkuu wa shule hadi wakaamua kumuondoa.

Sasa huyu ndiye kiongozi tunayemtaka kuliko hawa wasani akina Mwakyembe.
 
Afrika kagema kazaliwa pale kapwili shule ya msingi kwa baba yake marehemu Mzee Tonono MWASONGWE kagema na mke wake kyambiki!!lakini Leo hii Afrika hawezi hata kugombea uwenyekiti wa kijiji kile na akapata kwani hata pale kijini kwao hakuna anaye mkubali kwa lolote!!sasa sijuwi kwa suala la ubunge itakuwaje?Mimi naogopa sana kitu kimoja!watu sijuwi kwa nini huwa hatuambiani ukweli!sasa Mimi naomba niseme tu ukweli kwamba Afrika Tonono Kagema suala la ubunge wewe siyo saizi yako brother pamoja na kuwa ni Haki yako kikatiba lakini ubunge wewe huwezi kwa kifupi hutapata nakushauli wewe uendelee tu na taaluma yako ya Uhasibu amabayo nayo inakushinda lakini kwa kuwa ni kitu umekisomea hakuna anayeweza kukupokonya!ubunge wewe huwezi!!!

Mzee tuvute subiri utashangaa na roho yako. Wewe unafanya siasa za kwenye mitandao tu sisi wenzako tuko humu na vijiweni .

Haya tunayoyaandika ndio habari za mjini hapa Kyela.

Tusubiri.
 
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali

Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!

Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA
Malafyale, je CHADEMA kuna yeyote aliyejitokeza kwa sasa kugombea atakayeleta upinzani dhidi ya CCM?
 
Mkuu 100% CHADEMA makao makuu wakiwa support CHADEMA Kyela Jimbo wanachukua!

Hata Mwenyekiti wa sasa wa Halmashauri anayefukuzwa na CCM week hii Gabby Kipijja anataka kuja CHADEMA na ana nafasi kubwa ya kumtoa Dr Mwakyembe

Mwana sheria John Mwakilama(Ipinda) ana nafasi kubwa pia!Kuna Mwanasheria Thompson Mwangota(Lupembe) na wengineo zaidi ya 10 wanao wania jimbo!

Tatizo ni ukata tu kwani wananchi wamejichangisha hadi wamechoka sasa!Kama UKAWA hawatabadili strategy za kuleta japo karuzuku mikoani basi CCM itatetea majimbo mengi hata kama wamechokwa kama hapa Kyela
 
Kwahiyo unapiga debe kwa mwakalinga bila kuja na hoja humu. Acha kutumika Kijana twambie ana mipango gain name Kyela? Usifikiri wanakyela wanakula radio yake ya Kyela FM.

Njoo name hoja humus tuzipime.
Angesema labda Jembe la Kyela Gabb Kipija Mwakalinga.mzee wamsimamo sana
pia yupo tayari Ku educate Kyela mzima.
 
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali

Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!

Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA

By Mirror01
Hapo nabisha Kipija Mwakalinga tu! yupo imara kunyakua jimbo hata kupita kweye kura za maoni ndani ya chama..Kipija yupo makini sana wana Kyela kwasasa wana mkubali sana hata wapinzan.& he doesn't discharge his duties with interest ya chama yupo neutral .
 
Tusubiri wanakyela wataamua wenyewe kuchagua kati ya mchele na pumba
 
Africar kaifanyia nn Kyela?Kaifanyia nn Kapwili?Africar hajaonyesha chochote cha kumpa kura hata kijijini kwao Kapwili

Africar nitamshinda kwenye uchaguzi wowote Kyela!Africar atakuwa wa mwisho kura za maoni Kyela kwa CCM na hata akienda CHADEMA

Nibora Gab kipija Mwakalinga anamvuto sana kwa wana Kyela kwanza anapambana na umaskini pia anaonekana yupo tayari Ku somesha vijana wakyela weng tru his mradi wake wa KEIFO hata alisimamia operation kamatakamata wanfunzi ma school late comers nakuwapereka kituo cha polisi ili wanyoshwe yupo makini sana Kipija .is not serving an interest ya party lakini ya selikali.
 
WWW! Wewe mtu wa ajabu sana unakuja humu bila Aibu eti wapiga kula wake wanamuitaji nani anaye muitaji Afrika kagema pale Kyela kaka Acha unafiki huo kama unamuitaji sema wewe unamuitaji tena wana Kyela wakikusikia unaongeahuu upuuzi watakutafuta mpaka wakupate Acha kuleta siasa zakitoto hapa wewe!!hivi kweli Kyela ninayo ijuwa Mimi Leo wamuitaji Afrka this is amazing totally!! Kaka kajipange ndiyo uje tena na hadithi zako za kitoto!!

Gabb Kipija Mwakalinga ndio habari ya hapa Kyela mgini subiri tupige kura.KIPIJA Jembe
 
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali

Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!

Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA

Kumbe uyu jamaa apendwi
 
Back
Top Bottom