Africans are "misplaced human beings" in this planet

Hujitambui na wala huielewi dunia.Umekuwa braiwashed kiasi cha kujiona duni.Mission accomplished.Jamaa hawa wabaya sana.
Tukubali tukate,hii ni kazi ya nature na hakuna wa kuibadili.
 
Jibu la maswali yote lipo kwenye Biblia kitabu cha Mwanzo sura 9. Nabii Nuhu alisema blessed be the chidren of Shem and chidren of Japhet. Caanan will be their servants.

Yule mtoto aliyemcheka baba yake akiitwa Ham huyo ndiye baba wa caanan. Na Caanan ndiye baba wa Africa. Hivyo sisi waafrica tuna laana. Na laana haijivunji yenyewe ni mpaka ivunjwe. Hutuja vunja laana hiyo.

Ndiyo maana mataifa mengi walipokuja Afrika walitukuta hatuvai nguo bali magome ya miti. Wakati wao tayari walisha gundua nguo za mm ani sana na sasa wslikuwa kwenye kuinua uchumi.

Ndiyo maana hakuna taifa hata moja Afrika lilichomoza kwenda kutawala ulaya au mashariki ya mbali.

Sisi ni Kanumba. Ni mtoto aliyedumaa. Ni mpaka tusali na kuvunja hii laana
 
Ahsante sana.Haya ni maneno ambayo wengi hawapendi kuyasikia wala kuyakubali.Ni ukweli mchungu kwa sisi watu weusi.
 
Tupo ili tofauti ya wao kuwa wazungu ionekane.
Far important, wanatuhitaji
^^
 
Waafrika tuna mtihani mkubwa sana kujinasua kwenye mkenge tulioingizwa na wakoloni. Ila wanozidi kutuangamiza zaidi ni viongozi na wanasiasa wanaotanguliza tamaa za madaraka kuliko uzalendo ke=wa nchi zao. Hujuma nyingi zinafanywa na Wakoloni waliotutawala na kupitia wakoloni weusi. Kubalisha maisha kunahitaji alili nyingi sana lakini leo hii Afrika hakuna wenye akili isipokuwa wanasiasa/watawala. Ila tusikate tamaa, ipo siku akili itatumika.
 
Nicodemas Tambo Mwikozi pitia na hii mada itakusaidia kujua na wewe uko kundi gani miongoni mwa vichaa hasa kama wewe binafsi hauhusiki.
 
Watu wenye akili pana huwaza nje ya boksi , asante sana mkuu . Naweza kutamka kwamba mali asili hazikuumbwa kwa ajili ya waafrika na ndio maana viongozi wanaweza kuamuru sisi ngedere weusi tufukiwe kwenye machimbo ili kupisha wawekezaji , kama ilivyotokea Bulyankhulu .
 
Nashangaa huyu mtu anaitwa Nicodemas kaanzisha mada na kutuchukilia wana UKAWA wote ni vichaa wakati IQ alionayo haimwezishi hata kumudu mazingira yake bila msaada wa watu kutoka mabara mengine

Kama ni swala la IQ ndogo tuanzie kwenye uwezo wetu sisi Waafrika kumudu mazingira tunayoishi.
 
Yoote unayosema hatukuwa nayo yalikuwepo kabla wageni hawajaja. Kuanzia teknolojia hadi madawa vilikuwepo na bado vipo.

Walipojuja walitukuta tukifuga na kulima. Tukijitibu na kujilisha.

Tulilazikishwa kuacha mifumo yetu ya maisha na kufuata yabkwai ili tuwe TEGEMEZI.

Hebu kasome tena historia.
 
Kitu kimoja ambacho lazima ukifahamu vizuri ni kwamba Waafrika weusi tumegawanyika kwenye makundi mawili.

Kundi la kwanza asili yao ni nyani wewe ni mmoja wapo.

Kundi la pili ni uzao wa Adam na Hawa/Eva humo mimi nipo, Nyerere yupo, Mandela yupo, Kwame Nkhruma yupo and likes.

Unapoongelea kwamba Waafrika hakuna tunaloliweza unashangaza sana hebu tuletee Mzungu atuchongee kinyago cha mmakonde kwanza ndio utaelewa nasema nini.

Pia hao wazungu unaodhani wana teknolojia walete Tanzania watujengee pyramid kama zile za kule Giza Egypt tutawalipa pesa yoyote waitakayo.

Cha mwisho kwa kukusaidia ufunguke akili tatizo la Waafrika ni maandishi hakuna maandishi yalioyoachwa na babu zetu historia nyingi ya Muafrika wameandika wazungu ndio maana hata mtu kama wewe uliyotokana na nyani umekuwa confused.

Wazee wetu wa zamani ni well talented, wala hawakuhitaji kuvaa saa kujuwa wakati, tangu asubuhi juwa linatoka mpaka linazama wanajuwa ni saa ngapi, tangu mbalamwezi inatoka hadi kunakuchwa hata umkurupushe usingizini nane usiku ukimuuliza saa yeye akiangalia mbalamwezi anakujibu.

Loading......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…