Africans are "misplaced human beings" in this planet

Wataalamu naomba mnisaidie kwa anaejua je melanin imefanyiwa utafiti wa kutosha kuona kwamba effects yake ni kusaidia UV rays tu? Haina other hormonal effects? Maana wasiwasi wangu ni kwamba kwanini watu wenye melanin zilizojitosheleza we relax so easy? Why do we find every condition is a comfort zone to us? Why are we so lazy mentally? Yaani tumefika na anaetaka kututoa tulipo anakuwa adui.

Isije ikawa melanin ina -ve catalyst to the brain intelligence hususani kwenye problem solving. Yaani tunajiona tumefika sana na vyoo vyetu vya kulenga.
 
Shukran sana na Pole pia umejitahidi sana kuelezea mtazamo wako kuhusu waafrika kwa upande wako uko sahihi lakini tupo na sisi ambao tunaiona afrika au waafrika kitofauti kabisa,

Tatizo mm ni mvivu ku type 1. navyoujua mm Afrika ndio chimbuko la technology ya mwanzo kabisa, ujenzi , maandishi, kilimo, Irrigation , Utawala n,k
2. hao wazungu unaowataja na wao ktk wakati huko walikuwa watumwa/makoloni ya watu wengine kama uingereza , ufaransa n.k
3. Tatizo kubwa ninaloliona kwako nadhani (elimu) Hujasoma vizuri Historia ya ULIMWENGU WOTE, ULAYA , AFRIKA, ASIA kwa kina anza kabla ya yesu Utagundua kuwa afrika tuko vizuri sana tofauti kabisa na unavyofikiri.
4. Kumbuka kwamba watawala wa ulimwengu huu wanavyobadilika, kiteknolojia , Ulaya ya kusini ndio iliongoza mfano wagriki ndio wa kwanza kugundua umeme leo wako wapi ? wamisri (Waafrika)wa kwanza kwa maandishi , ujenzi, nguo leo wako wapi ? leo anaongoa USA

5. Mimi naamini iko siku japo sio hvi karibuni AFRIKA ITAAONGOZA ULIMWENGU KAMA ILIVYO USA SASA ishara zipo nyingi sana na za wazi wazi kama unvyoweza kuiona china inavyojitokeza au ULAYA KUSINI ILIVYOZAMA.
 
Hapana hajajiona duni kauliza swali na katoa hoja kuhusu uwezekano wa kutostahili kwa waafrika kuwepo katika sayari hii kwa sababu ya kutomudu mazingira ...

Aidha kama tulikusudiwa kuwepo katika sayari hii basi imekusudiwa kuwa lazima tuwepo chini ya uangalizi wa wahusika waliopewa maarifa ya mamlaka ambayo sisi tumenyimwa licha ya kuwa na rasilimali zote zinazotuwezesha kuwa na mamlaka hayo sisi wenyewe ...

Sasa wewe ambae sio duni umewezaje kutatua hili mbona mpaka leo tunatawaliwa tu na hatuwezi kujitawala wenyewe???

Kibaya zaidi tunatawaliwa sisi na rasimali zetu wao ndio wanatupangia nini chakufanya kwa faida zao ambazo gharama yake ni migogoro mitupu wanayotuachia miongoni mwetu kwa makusudi ili tuchomoane nafsi na wao waendelee kuvuna faida maradufu ...

Haya wewe ambae sio duni umefanya nini au hao uliowachagua wamefanya Nini???

Ama hakika muandishi amepatia sana sisi utawala wetu unaishia kwa ukoo na familia baaaasssiii baraka ya kuzaa watoto tu ili uje uwatafte lawama badae kisa hawakutumii misaada, wewe uliwajengaje ili wakusaidie???

Shubaaaaamit
 
Kila siku unakesha kisikiliza matangazo ya mambo mazuri ya huko ughaibuni basi unadhani wote wapo hivyo
 
Waafrika kusini teyari wamethibitisha ulisemalo.
Hivi akina Hitler na Himmler nao walikuwa waafrika pia? Au akina Slobodan Milosevic nao walikuwa Waafrika?. Au ni ile ya syndrome ya Kiafrika ya Mzungu kutudharau na wenyewe kujidharau!
 
Mtoa mada anaonyesha kuwa sehemu kubwa ya maisha yake ameyatumia kwa kufanya kazi za ndani kwa wazungu...au ameishi ulaya katika sehemu yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana.....
Ungejikita kwenye hizo challenge alizozitoa badala ya kujibu juju mkuu. Inasemekana moja kati ya mtu kua na fikra ndogo ni ile tabia ya kujadiri mtoa HOJA badala ya kuijadiri HOJA
 
Ila akili kama hizi ni za mtu? Umeandika nini? what is your implication?
 
Katika evolutionary tree tuko Chini kabisa, we are at the early times of evolution
 
It has taken almost 400 years kuiona America na Ulaya unayoiona leo. There's a big possibility kizazi cha 20 huko kitapeleka misaada Ulaya
 
Tatizo ni kukosa intelligence Agencies zenye intelligent personnel.
Afrika inaweza kuendelea kwa Kasi kubwa kuliko mabara mengine kwa sasa kwa kutumia teknolojia ya kimawasiliano duniani.
Ujasusi unatakiwa uvuke mipaka kiuchumi na siyo kutumia nguvu nyingi kulinda tawala za ndani dhidi ya wananchi wao wenyewe.
Kunatakiwa mkakati maalum wa kuwadhibiti kijasusi wageni wote kupitia raia wote kwa uratibu rasmi wa mashirika na taasisi za kijasusi za kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…