African Uprising

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Kwa haya yaliyotokea Egypt ni fundisho kwa viongozi wote hapa Africa. Ningependekeza kuwe na uprising/mwamko kwa wananchi wa Africa kupindua marais waroho, wenye uchu na madaraka, wazembe, wezi, wauwaji n.k. Kwa msingi huo tu, basi Kagame, Museveni, Mugabe, Al Bashir, inabidi wapinduliwe. Waafrika hatuwezi kuwa vituko kila kukicha tunataka amani na maendeleo si ubabaishaji na unyanyasaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom