African Union Libya, Egypt na Tunisia Mnakwenda Lini? JK Uongozi Ulijifunza Wapi?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kama kawaida African Union wanajipeleka Ivory Coast na kikundi cha uongo na kula pesa za wananchi wao. Kikwete anachokifuata Ivory Coast ni nini? Kinashangaza kuona viongozi wa Africa wakijali sehemu kama Ivory Coast wakati majanga nyumbani mwao wala hawataki kusuluhisha. Tunasubiri kuona kama Kikwete Akimaliza Ziara yake Ivory Coast Atakwenda Tunisia, Libya na Egypt na kumalizia Uganda. Africa inaongozwa na watu duni na ukosofu wa dira...Mabadiliko yanayotokea Libya sasa hivi sio kitu kigeni, wananchi wamechoka na watu kama Kikwete, Pinda, Rostam na gang zima la ccm. Maybe kuna fununu kwamba Kikwete ananunua nyumba S. Africa ili akifukuzwa mwezi huu ahamie Cape Town. The truth is about to come out really soon.

Kuna Ukweli Jeshi la Tanzania Halimuungi Mkono Kikwete Kutokana na Ufisadi Serikalini

Soma utombo wa mwenyekiti wa AU hapa chini
"Every of these crisis are in my report with full details, but the question of Tunisia is not there because the crisis in Tunisia came after I published my report," he said. "Egypt is the same thing, noting is in my report which I submitted to heads of state. Nothing on Tunisia, nothing on Egypt"
African Union Summit Agenda Skips Egypt, Tunisia | News | English
Ivorian troops kill protesters, AU meets Gbagbo - AlertNet

Ukisoma leo hii kwenye web site yao hata mapambano ya wananchi wa Libya hawayazungumzii, uongozi huooooo wa Africa
Home | African Union
african-presidents.jpg
 
Viongozi wa Afrika ni wababaishaji wakubwa,na wakiendelea na ubabaishaji huu siku zao zinahesabika!!
 
Jamani ndugu zangu huyu fisadi letu tusilicheleweshe hivi tokea baba wa taifa alipostafu hakuna jipya zaidi ya kudidimia kila sekta..
 
african-presidents.jpg


Hawa viongozi ni wanafiki wakubwa akiwemo kimbelembele Kikwete wamekazania kusuluhisha nchi weak kama IC wakaacha Tunisia, Egypt na sasa Libya wakijua wakienda kwenye nchi hizo watapuuzwa.
 
Back
Top Bottom