Ms Tz Member Joined Jan 5, 2011 Posts 18 Reaction score 2 May 11, 2013 #1 Habari zenu wanajf,msaada kwa anayefahamu kuhusu organazation ya African Self Reliance Foundation anijuze?
Habari zenu wanajf,msaada kwa anayefahamu kuhusu organazation ya African Self Reliance Foundation anijuze?
bi kidude mdogo New Member Joined Apr 20, 2013 Posts 3 Reaction score 0 May 11, 2013 #2 Ms Tz said: Habari zenu wanajf,msaada kwa anayefahamu kuhusu organazation ya African Self Reliance Foundation anijuze? Click to expand... Aisee na mie nimepata email ya hao watu ila sijaelewa na deal na nini hasa
Ms Tz said: Habari zenu wanajf,msaada kwa anayefahamu kuhusu organazation ya African Self Reliance Foundation anijuze? Click to expand... Aisee na mie nimepata email ya hao watu ila sijaelewa na deal na nini hasa
iGodmanhustler JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 609 Reaction score 343 May 11, 2013 #3 ebu cheki my last post before this post hum hum kwenye ajira
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 May 11, 2013 #4 Matapeli hao achananao kabisaaa
Ms Tz Member Joined Jan 5, 2011 Posts 18 Reaction score 2 May 11, 2013 Thread starter #5 duu thanx mdau nimekupata,mi nilipata mail ya training bt wasi wasi ulikuja walivyotaka m-pesa wakidai watarefund.....mmh!
duu thanx mdau nimekupata,mi nilipata mail ya training bt wasi wasi ulikuja walivyotaka m-pesa wakidai watarefund.....mmh!