African Satellite World and Sat Gear

African Satellite World and Sat Gear

I have already told u it's hardware problem,once the channel numbers are not showing on the panel there nothing u can do,if u can't do it send it to a qualified service personal.
Good luck
 
I have already told u it's hardware problem,once the channel numbers are not showing on the panel there nothing u can do,if u can't do it send it to a qualified service personal.
Good luck
ok tnx but can u plz tell what ic do i need to replace ?
 
Kuna application zinasaidia sana kujua lokesheni ya satellite. Kama playstore and look for satfinder app
Good, naomba kujua baada ya kupakuwa hiyo application ya satfinder tayari unayo kwa simu utaitumiaje wakati unazungusha dish lako??au utaweka simu kwenye dish/lnb inapopata signal inakuonesha??
funguka tafadhali,
 
...
Ukiwa unazungusha dish, kuna mizungusho miwili muhimu, vertical na horizontal, pamoja na kurekebisha kitako cha lnb.
Unapotumia app ya satfinder, unaweka jina ama angle ya sat unayotafuta ... utapewa angle azimuth, elevation na lnb skew. Pamoja na mwelekeo uliopo kwa sasa
Shule kata!? ...
Rejea ufahamu wa sat locations, zote zipo ukanda wa equator na angle zake ni longitude. Azimuth angle unayopata ni compass direction kuelekea kwa sat, elevation ni mwinuko wa lnb kuelekea sat, angle zake zipo kwa maungio ya mkonga. Tuna prime focus kwa dishi 'kubwa' na offset kwa dishi 'dogo' ya ku band only. Hivyo lnb skew ni mbonyeo wa kuelekea kwa dish au kutoka along line of focus, una screw lnb in mm kwa holder.
Kawaida unakaa nyuma ya dishi ukiwa along focus line. Sawazisha zaidi ukiambatana na satfinder meter!!!!!
 
Kwesé Sports sealed a four-year deal with European and global football governing bodies UEFA and FIFA for broadcasting rights across sub-Saharan Africa to all major tournaments. The deal will see the Econent Media-owned platform broadcast European national football team matches, the 2018 World Cup Finals and Euro 2020 tournament across the sub-Sahara African nations – excepting South Africa where SuperSports has retained the rights.

Read more
 
Thanks for the good news u bought,hope things will go well
 
Watu wetu, wengine hatu-talki Kiswahili... sameyeni mabwana namabibi (sorry for my bad Kiswahili)
 
Watu wetu, wengine hatu-talki Kiswahili... sameyeni mabwana namabibi (sorry for my bad Kiswahili)
Kwanini hamutaki Kiswahili?
It is a very good uniting language for us in East Africa. Try to learn it and you will love it.
No man is an island.
 
But others who would like to share and to know what you are discussing can't understand (this is a discrimination)
I second this statement (we those from west Africa are left out)looks like we have the Swahili forum.
 
Back
Top Bottom