Kuna dada ana duka linaitwa adorn. Liko opposite na mlimani city. Ukiwa round about ya mlimani city, u take the road to katalunya bar, just after leaving the tarmac utamuona hapo kushoto.
Anatoa materials ghana. High quality linen, sometimes zinafanywa batik. Uzuri kuna ready made. Classic handcrafted bags too.