African Millionaires: Ali Mufuruki

attachment.php


he is one of the most successful businessman in the country and he is only 40 years of age

ali mfuruki ana miaka 40!!!!au sijaelewa...?
 
40 labda amefoji birth certificate, huyo nampa minimum 48 bana.

At 40, he can't have grownup daughters like that.
 
Namkubali sana jamaa. Ila kama miaka 40 unakuwa hivyo na una hela, something very wrong somewhere! Aende Apollo haraka!
On the other hand, huyu jamaa huwezi sikia alionewa na Nyerere huyu! He is a hard worker who found his wealth by his own sweat! Kudos and teach us how hard work pays! Sio kulalamika tu na Nyerere who is dead 20 ago.
 
Utajiri wa mfuruki kwa kiasi kikubwa umechangiwa na balozi ami mpungwe...na ndio business partner wake,aliyoyafanya ami mpungwe kwenye mashirika yetu ya umma na madini yetu akishirikiana na makaburu kipindi cha mkapa ndio matokeo yake kuibuka kwa bwana mufuruki!
 
mwenywe anajua kuwa umemweka humu. Maana haya majibu utayabeba wewe? Coz wana mitazamo tofauti humu katika kukoment hizi thread
 
He is hardworking man, congrats. But regarding his age that he is 40, then we should start thinking on how to count numbers, either chinese or Kimatumbi. Its true he will need to visit Apollo very soon something should be wrong somewhere.


attachment.php


He is one of the most successful businessman in the country and he is only 40 years of age
 
Nina shaka na utajiri wake,but u know watu wengi wenye pesa wana story ndefu na mara ntingi ni chafu au mbaya,about age sikubaliani fanya taft utujuze ukweli co kutudanganya
 
Utajiri wa mfuruki kwa kiasi kikubwa umechangiwa na balozi ami mpungwe...na ndio business partner wake,aliyoyafanya ami mpungwe kwenye mashirika yetu ya umma na madini yetu akishirikiana na makaburu kipindi cha mkapa ndio matokeo yake kuibuka kwa bwana mufuruki!

Halafu hapa tunapeana moyo hard work pays! Kumbe kuna story kubwa nyuma ya pazia dah
 
you mean the man is just 40 years of age, tell me you are kidding maaaan!
 
It is very hard to get rich in Tanzania through legal means! take it or leave it!
 
Nina shaka na utajiri wake,but u know watu wengi wenye pesa wana story ndefu na mara ntingi ni chafu au mbaya,about age sikubaliani fanya taft utujuze ukweli co kutudanganya
Mufuruki is among few Tanzanians who have earned their money kwa njia safi.
 
El toro
huyo mtu ana tofauti na rostamaziz unaposema watu wamuige huyo bora wakamuige rostam aziz
nenda ukaulize aliepeka atcl kuwa apo ilipo akiwa mwenyekiti wa bodi ni nani ..huoy huyo ndie alietaka kufanya kamchezo kachafu kwa kutangaza atcl kununua ndege mbili mpya wakati huo kulikuwa na ndege mbili za atcl zimerudishwa kwao south afrika kilichofanyika wakazipeleka kwenda ireland ilipofika wakati wa mkataba ikaonekana mbona namba za ndege reg mbona zinafanana na ziliozoondka alitamaani dunia ihamie mbeya

so kwa ngu mi i kama hawa unaniambia niendelee kuwa mwizi kitu nisichokiweza dear
sos sorry hiyo kuwashika familia yake ni wajibu wakila mtu nahisi na wewe ukioa unatakiwa kuwapenda waotot wako kama kaka ali...nakutakia mafanikio mema
 
he is hardworking man, congrats. But regarding his age that he is 40, then we should start thinking on how to count numbers, either chinese or kimatumbi. Its true he will need to visit apollo very soon something should be wrong somewhere.

mmh hao wawili nina wasiwasi jamani jaibiwa mzee wetu
mh napita tu
 
Back
Top Bottom