Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,972
Kumbe Tanzania kuna mpira?
hiyo nguvu ya dar,ngoja zianze safari za nje ya dar ndo tutajua kama kweli mlikuwa oman!Mambo ya Oman hayo
Magoli ya Simba yalifungwa na Ramadhan Chombo moja na Mrisho Ngasa mawili huku la Africa Lyon likifungwa na Ike, final score, Africa Lyon moja na Simba matatu.Mtuambie nani kafunga magoli na sio vipande nusu nusu.