ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,752
- 131,513
umeambiwa kulikuwa na article ngapi za kutoweka barafu mlima kilimanjaro zilizoshindanishwa? unajuaje labda hata hapa zimeandikwa ila hazijapelekwa kwa mashindano? Hapa hawashindanishi kila kilichoandikwa, bali kilichopelekwa kushindanishwa (na visivyofanana).
Yule dada wa sports news toka Kenya kapata award kwa article aliyoandika, nje ya Kenya...exposure inawaumiza waandishi wetu...nadhani hata language barrier ni kitu kinachotuumiza pia.