CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Wanahabari/waandishi wa habari Tanzania, mkenya ameshinda zawadi ya environment award writing on "Disappearing Ice cap on Mount Kilimanjaro"
Jamani mlima ni wetu wanaoandika kuhusu mlima na kupata zawadi ni Wakenya! Nadhani tumezidiwa kete. Uwezo wetu wa kuandika ni mdogo au? I stand to be corrected!