Sioni haja ya viongozi wa Africa kuikataa mahakama ya ICC,mahakama ni chombo kinachotenda haki na kinaongozwa na sheria zake,,,sasa iweje baadhi ya viongozi wa Africa kua na hofu na mahakama hiyo.
kama upo upande wa haki na umetenda yaliyo mema kwa wananchi wako wako,sioni haja ya kuigopa mahakama hiyo.
kwa kusema mahka ile ipo kwa ajili ya kuwaumiza viongozi wa Africa ,naona kama wanakosea ,kwani viongozi wengi tu wa mataifa wengine wameshawahi kuhukumiwa na ICC.
Kwa mtazamo wangu naona viongozi wanaoikataa mahakama hii ni kwa wale wanaojiona ni wachafu na wametenda mambo yasiyo na ubiinadamu kwa wananchi wake ,na ndio maana wanajaribu kuikimba mapema mahakama hii.(angalia wanopiga kelele kwa hili)
Pia nazidi kujiriidhishia ujinga wa viongozi wengi wa AFRICA kushindwa kufanya long plann analysis kabla ya kuingia kwnye mikataba ya kimataifa.
Sijaona uamuzi sahihi kutoka kutoka kwa baadhi ya viongozi hao, kama kweli wapo kwa ajilii ya kuongoza kwa haki na kwa maslai ya taifa ,sioni haj y kuigopa mahakama hiyo.:A S-confused1: