African Day Benefit Concert Live

African Day Benefit Concert Live

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
2,070
Reaction score
3,618
Unaweza kuangalia concert hii yenye lengo la kukusanya michango kwa ajili ya chakula na mahitaji ya kiafya kwa ajili ya familia zilizoathirika na COVID-19 barani Afrika

Wasanii watakaotoa burudani ni pamoja na Diamond Platnumz, Fally Ipupa, Saut Saul, Davido, Dj Maphoriso, Burna Boy, Yemi Alade, Bebe Cool, Nandy, Salif Keita, Tiwa savage, Angelique Kidjo, sho madjozi.
Host wa concert hii ni Idris Elba
 
Saa ngapi inaanza mbona kwangu inazingua . tatizo nini
Screenshot_20200525-203457.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilishaanza tangu saa Moja YouTube
Nandi kazingua kakaa tu kwenye kijikochi manyoya anaimba Wimbo kivuruge ule wa longtime.
Diamond ndio kamaliza kutumbiza jeje mda si mrefu. Very creative diamond amekua kwenye jeje yake.
 
Back
Top Bottom