African black beauty

Wazee wa kujichubua wanaruka na kukanyagana sasa hivi huko waliko, afu huwa wanatema harufu mbaya sana kama vile ile mikuku mitaira isiyo na baba wala mama(kuku wa kisasa)
 
Hao ndiyo "ma-blonde" wetu sisi watu weusi...
Watamu hatariii....
 
Naona ni mwanafunzi huyo, ikiwa ameelewa vizuri ile topic ya equilbrium, sitashangaa akiolewa na mzungu. Ila, nasema ilaaaaa ikiwa hajaelewa, basi ataolewa na mpoki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…