Naomba niwakilishe kilio changu wanajamii wenzangu!!
Kwa mda mrefu sana hawa jamaa wamekua wakitangaza nafasi za kazi katika idara zao mbali mbali!
Nakumbuka walitangaza nafasi ya kazi ya account payable first line leader,waliniita kwenye usaili wao,matokeo yake wakawapa ajira vijana waliokua wakifanya kazi humo humo ndani!!
Wametangaza tena nafasi ya kazi ya Assistant Finance,but kwa habari nilizozidata toka kwa mfanyakazi wa hapo,kaniambia wala nisijisumbue kuomba,nafasi inamwenyewe tayari!
Swali langu kwenu Barrick,kwa nini mnapenda kupoteza nauli za wa watu,gharama za kulala hotelini na chakula kuja dsm kufanya usaili,wakati mnajua kwamba post zenu zina watu tayari?