Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Oct 15, 2011 #1 ...inawezekana tamaduni za wa nyarwanda ni tofauti kabisa na za watanzania, mbona mzee JK huchorwa katuni watu humuita majina ya aina tofauti tofauti wala hajawahi kulalamika. kwa hili bongo ki demokrasia tupo juu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
...inawezekana tamaduni za wa nyarwanda ni tofauti kabisa na za watanzania, mbona mzee JK huchorwa katuni watu humuita majina ya aina tofauti tofauti wala hajawahi kulalamika. kwa hili bongo ki demokrasia tupo juu!!