Africa yetu

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
20,360
Reaction score
13,465
Ugali wa hapo lazima use mtamu sana
 

Attachments

  • 8bcb16ece3ce75fc38dc05cbee3ae6aa.jpg
    63 KB · Views: 108
Weekend lazima tuingize fikra za amsha amsha
 

Attachments

  • f216669d5ea5c0fc36d50b0a73956d1e.jpg
    131.1 KB · Views: 90
Ugali wa hapo lazima use mtamu sana

Kiboko ya mwanaume, japo kuna wanaume wanasema wao ni gangwe au wagumu hawatekwi kirahisi na kilichopo katikati ya mapaja eehehehehehheee

Achi niendelee kusonga ugali, kuna dona, bada, sembe, mashed potato, ugali wa ndizi yote nasonga mnyamwezi mie.

Raha sana kuzaliwa mwanamke hasa tabasamu likiwa halikauki usoni pako.
 
Aisee unaonekana mtalaam sana wa kusonga ugali
 
Nipeni namba zake jaman?? Pia kama kuna mwenye namba za dalali yoyote wa nyumba na viwanja aambatanishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…