Africa tunaweza: Dogo atengeneza DRONE

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5100744_capture_jpeg6d0ce43c2e6495dc5ba7597dd3872afd

5100746_sanurai_jpegc4d3921aac6c47d929d474b6085d779b

5100751_vam1_png9e9776503ec6a11c475673687604a95d

5100752_van_jpeg7a0694ef1a763f83ec10d97105c30e7b
 
We ulijua hatuwezi?Nchi za ulaya walichotufanya ili kutudumaza kiakili ni kusainishwa mikataba ambayo itatufanya tuwe tegemezi na kuwekewa trade barriers za sisi kuwa market yao na kutufanya tusiweze kuuza kwao bidhaa
 
Mbona kama kachukua parts za drone iliyokufa na kuweka mbao zake
dogo ni polytechnic, Hata samsung hawatengenezi wao kila kitu wananunua parts mfano Cameras zinaweza kutengenezwa kwingine.
So sio hajabu some parts kutumika. Lakini vitu kama hizo mota Casing, na external Designing kwa kijana miaka 17 its amazing.
 
Watakaokuja kupondea humu ni asili nyeusi. Ulaya hata mtoto akiweza kuunganisha injini ya gari iloyotawanywa, anasifiwa. Sisi kwetu hata ukijaribu kutengeneza/kudesign kabati kama la dubai, unaambiwa umeiga.

Ujinga ni kumsifia mke wa jirani yako na kumponda mkeo kwa kudhani ipo siku utammiliki mke wa mwenzio
 
Sijawa impressed bado, kazi rahisi mno.
Inastahili pongezi kwa dogo ila sio jambo la Afrika kujidai hata kidogo, wapo watu wanaweza fanya mambo makubwa sana sio hili dogo kiasi hiki. Hata mdogo wangu wa mwisho sekondari anatengeneza drone na anaprint mwenyewe 3d parts bila shida.
 
Hivyo vifaa alivyotengenezea vimetoka Afrika ipi? Hebu acheni utani
 
Back
Top Bottom