h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,545
- 3,370
Alichofanya ni hatua nzuri ya kujifunza, lakini sio kitu kikubwa sana cha kushangaa ni kama unavyo shangaa mtu ana fanya windows installation, tunachotakiwa kufanya ni kutumia nyenzo hizo hizo kutatua changamoto zilizopo katika jamii zetu.
Mfano mdogo, ningemsifu sana kijana aliyetengeneza hydroelectric power project kupitia mtaro wa maji au maji mito kuwasha taa walau moja kwenye eneo lisilo na umeme, hapa kweli unaona kafanya kitu kinachohitajika katika sehemu husika bila kujali ugumu au urahisi aliotumia, ila chamsingi ni kufungua njia.
Bado nampongeza kijana kwa level yake ni nzuri kumfanya apende electronics na ikibidi ajifunze zaidi.