Africa mashariki yaongoza kwa Internet Bora Africa

Africa mashariki yaongoza kwa Internet Bora Africa

tanzania watu wengi hawatumii internet sababu hawajui ila hawajaamua ila napinga vibaya mno kwamba kenya internet imesambaa na wana speed kubwa sababu ni hizi.

1. ile network isiyo na jina aka tritel inayotumiwa na smart sasa hv inapatikana nchi nzima tena kwa 3g. nimetembelea kenya maeneo kibao hakuna 3g.

2. mitandao yetu mikubwa mitatu voda, tigo na airtel wote wana speed zaidi ya 8mbps labda eneo liwe na msongamano wa watu speed ndio inashuka.

3.tanzania tuna low cost internet, gb30 kwa siku 3 kwa sh 1000 masaa 18 ya usiku. kenya bado wana vifurushi vya ksh 50 (tsh 1000) unapata mb 40.

kuhusu hizo revenue huku tz mtandao unalipa kodi hadi bilioni 700 za kitanzania just imagine revenue itakuwaje. kwa siku wanaingiza mabilion ya hela

ninachogundua makampuni mengi ya kigeni yanapofanyia analysis internet za africa wanakariri internet za kwao watachunguza wifi pamoja na kampuni zinazosambaza internet kwa waya na kusahau mobile data ambayo ni internet mama kwa huku
Ninachokiona ni kwamba, kuna nchi huwa zinaangaliwa na kufuatiliwa sana taarifa zake kutokana na umaarufu wake. Ila mambo yake ni ya kawaida tu.
 
Hyo MB 40 ya safaricom si unafungua page ya jf tu?
 
Mimi nimekaa huko Kenya gharama za mawasiliano ni ghali sana. Yaani huwa nanunua MB 40 tu kwa siku maana zaidi ya hapo ni kujichimbia shimo.
 
Same to Uganda MTN nilinunua 40MB, kwa sh 1000/= ya Uganda na hapo ilikuwa ni mb tu bila sms wala muda wa maongezi.

Tz is the Best
 
Back
Top Bottom