Africa Mashariki-Chuma ulete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa Mashariki-Chuma ulete

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by nakuona, May 9, 2012.

 1. n

  nakuona Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wote tunajua umuhimu wa Africa Mashariki,hasa ukizingatia kuwepo kwa rasilimali nyingi na rasilimali watu hivyo soko la
  muungano huu laweza kuwa kubwa na lenye faida. Ili wajasiriamali wakitanzania waweze kushindana na wajasiriamali wengine katika Africa mashariki tufanyeje?
  Ninamna gani sisi watanzania mbali ya kuanzisha biashara zetu hapa nyumbani Tanzania,tutaweza kwenda kuanzisha makampuni Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi na kufanya chuma ulete( kukusanya haraka mali sehemu nyingine na kuileta Tanzania kihalali) zipi ni fursa za kutuwezesha kucheza haka kamchezo ka-chuma ulete? Je tunaruhusiwa kuanzisha makampuni sasa katika nchi yoyote ya Afrika Mashariki...kama ndio wapi kwa kuanzia?
   
 2. S

  Speculator Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera sana nadhani hata wewe ni mjasiliamali mzuri sana kama unapata mawazo ka hayo. NADHANI LINAWEZEKANA KUFUNGUA BIASHARA KAMA BRANCH YAKO AU KUSAJILI UPYA KAMPUNI HUKO
   
 3. n

  nakuona Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa ushauri wako,basi hii iwe chachu kwa wajasiriamali wengine!
   
Loading...