Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
Baada ya raia wa Africa Kusini kufanyia vitendo vya kinyama wageni kutoka sehemu mbali mbali za Africa sasa ni wakati wa nchi za kiafrika kuitenga rasmi nchi hiyo kama mataifa mengi za dunia zilifoifanyia utawala wa makaburu.
Nakumbuka miaka 70 mpaka 80 kwenye passport za Tanzania zilizotolewa ilikuwa ni marufuku kwa mtanzania yeyote kwenda Africa ya Kusini.
Nakumbuka miaka 70 mpaka 80 kwenye passport za Tanzania zilizotolewa ilikuwa ni marufuku kwa mtanzania yeyote kwenda Africa ya Kusini.