Ankazominiotra
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 607
- 379
Kwani misongamano kwenye daladala inaruhusiwa kwa sasa? Inaendelea?Mungu tuepushe..nikifikiria msongamano kwenye daladala zetu..mwendo kasi hadi naogopa...
Kwani misongamano kwenye daladala inaruhusiwa kwa sasa? Inaendelea?Mungu tuepushe..nikifikiria msongamano kwenye daladala zetu..mwendo kasi hadi naogopa...
Kwani misongamano kwenye daladala inaruhusiwa kwa sasa? Inaendelea?
Asilimia kubwa ya wafrika wanaishi vijijini sioni ukweli wa vidaladala vyenu na mwendokasiMungu tuepushe..nikifikiria msongamano kwenye daladala zetu..mwendo kasi hadi naogopa...
Watu bado hawajaelewa! Hapa kuna wasomi lakini bado wako na mawazo potofu dhidi ya corona, fikiria huko vijijini hali itakuwaje, ni hatari sana
Hawawezi kuruhusu kwa sasa.Nahisi wamekataza,sijajua...
Ni huyo huyo Mungu kwenye kitabu cha Mathayo 2:13 aliagiza Yesu aondolewe ili asiuwawe na Herode. Sasa jiulize kati ya Mungu na Herode nani mkubwa na mwenye nguvu.
Kataa taarifa na u-dead mbele ya Mungu.
Chukua Tahadhari ndugu, si kila kitu ni cha kufunga na kuomba, vingine fuata maelekezo, ni ibada pia.
Watu bado hawajaelewa! Hapa kuna wasomi lakini bado wako na mawazo potofu dhidi ya corona, fikiria huko vijijini hali itakuwaje, ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ikipiga kama Italy, watu watadondoka kama kuku.
Familia nzima inaweza isiamke, wote wanakutwa wameshafariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko hawana Mungu kwani??Mungu hajawahi kushindwa itaishia huko huko kwao
Wewe bado tu hujaelewa kwa nini mtu amesepa gafla kijijini kwao kujificha.
Trum ndio anamkumbuka.sasa hivihuko hawana Mungu kwani??