Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Figisu figisu tu mwanzo mwisho hii game ya mwisho
 
Malipo hapa hapa duniani, hawa waarabu ndo kazi zao sio tu kwa timu zao za taifa mpaka vilabu vyao ole wake uingie viwanja vya nyumbani mbona utalia sana. Bora wametolewa kwa style hiyo hiyo ili waone maumivu ya hila wanazofanya wao wakiwa viwanja vya kwao.Ahsante refarii.
 
ndio dawa ya waarabu full kujiangusha..baada ya kufunga lile bao mpaka wakawa wanatia hasira..
 
Refa kamaliza mpira kabla hata muda haujatimia kikamilifu.....Anyway....acha waarabu waondoke siwapendi tu.....

Zilikuwa zimebaki sekunde saba ....saa ilikuwa inasoma 1.53 katika muda wa nyongeza wa dakika mbili. Hakukuwa na uwezekano wa waarabu kurudisha goli; hivyo refa akaona wanamchosha tu.
 
Mbona ya 2010 sikumbuki unaposema England alipita kibahati,au unabahatisha data zako nini?
 
Mbona ya 2010 sikumbuki unaposema England alipita kibahati,au unabahatisha data zako nini?FIFA sikuwa na uhakika ila ulaya najua kuna wanaangalia nidhamu ikiwa mmelingana kila kitu na head to head mlivyokutana ambayo afrika nayo imefuata hiyo sasa
 
Jamani Leo mechi saa ngapi...anacheza nani na nani??
 
hii ndo game ya kukata na mundu!

Hii ndio game ambayo watu wengi wanaoipenda chelsea hasa wa afrika wataumia sana manake utafiti unaonesha watu wengi wanaoipenda chelsea wanaipenda sana ivory coast.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…