Haya mambo ya penati bana hayana mwenyewe ukikumbuka na alichofanya Chollo leo. Ila naona Ivory Coast wanakaribia ushindi.Washindi watapatikana kwa upigaji wa penalti 5 kwa kila timu kutoka kwenye hizo mechi 2.
Haya mambo ya penati bana hayana mwenyewe ukikumbuka na alichofanya Chollo leo. Ila naona Ivory Coast wanakaribia ushindi.
hizi games za leo ndio atapatikana bingwa wa afcon
Bora camerun achomoe tuone drama itakavotokea
Mali na Guinea nani kapita..
Ila Cameroon wakishindwa kusawazisha na game ya Mali na Guinea ikaisha 1-1 basi itapigwa kura kesho kutafuta mshindi wa pili.
Itapigwa kura kesho kama ilivyofanyika 1988 ambao Algeria na Ivory Coast zilipigiwa kura na Algeria ikabahatika kusonga mbele.
Hii inakumbusha ile ngoma ya Yanga na Ahsante Kotoko mwaka 1968.
Jamaa wanadai yule kepteni wa Ahsante kotoko aliwahi kushangilia kabla shilingi haijaanguka kisawasawa kwenye ground na iliyobakia ni historia.
teh teh teh africa bado sana kimpira, ila sasa na wewe mdau ni wa kitambo kiasi hicho duuuh
mkuuteh teh teh africa bado sana kimpira, ila sasa na wewe mdau ni wa kitambo kiasi hicho duuuh
hizi games za leo ndio atapatikana bingwa wa afcon