Huyu refa naye anaharibu sasa, beki mmoja wa Ivory Coast karudisha mpira kwa goli kipa wake kwa kichwa na golikipa kuudaka matokeo yake refa kawapa Mali free kick ndani ya penalty box.
Hawa jamaa wa West Africa wana vipaji sana, kiukweli sisi huku East Africa tutasubiri sana, angalia yule Mmali anayechezea klabu ya Sudan alivyo na kipaji lakini hayupo. Kina Tchetche na ndugu yake walivyo na kipaji lakini hata kuitwa tu hakuna.
Matokeo yangebaki hivi hivi au Mali waongeze lapili, ili haya makubwa jinga yarudi kwao manake wachezaji wao wanacheza ki-father father sana.Dak24: Ivory Coast 0-1 Mali.
Ahsante, ila leo sijakuona mkuu Ngarna au unavutia kasi pambano la kesho!!! kila la kheir timu lambalamba funga hao mambumbumbu wa Aveva.Mkolaj hongera mkuu kwa ushindi Moro.
Ahsante, ila leo sijakuona mkuu Ngarna au unavutia kasi pambano la kesho!!! kila la kheir timu lambalamba funga hao mambumbumbu wa Aveva.
Mkuu inaonekana hiyo sheria ni ngumu si umeona hadi beki mkongwe Kolo Toure naye alikuwa analalamika na kumwonyesha refa kwamba mpira ulipigwa kwa kichwa. Mimi nilikuwa najua ile last touch toka kwa beki kwenda kwa kipa ndo inayoangaliwa kumbe kuna vigezo vingine tena. Asante kwa ufafanuzi.Mkuu soma maelezo yangu kwa namna ya kutafsiri sheria ya back pass. Refa yupo sahihi kutoa indirect free kick.
Mkuu inaonekana hiyo sheria ni ngumu si umeona hadi beki mkongwe Kolo Toure naye alikuwa analalamika na kumwonyesha refa kwamba mpira ulipigwa kwa kichwa. Mimi nilikuwa najua ile last touch toka kwa beki kwenda kwa kipa ndo inayoangaliwa kumbe kuna vigezo vingine tena. Asante kwa ufafanuzi.