Bugals Edward
Member
- Jan 13, 2018
- 37
- 7
Uzuri wako Africa, ni pamoja na upendo ulionao ndani, misitu mikubwa ya asili imo ndani yako, asili yako ee Africa ni utajiri unaoparikana ndani yako
Unauwezo wa kulisha dunia yote ila mbona wanakulisha?
Umejaliwa vyote ila demokrasia kiulizo,?? Swali watu wako wanauliza lini tutakuita kilele cha demokrasia???
Tazama dunia inakuangalia kila siku, viongozi wako kila siku wanarushiwa kasoro,
Je, Africa kutokuwa na demokrasia na haki ndani yako, hayo unaweza kuyaita maendeleo,?
Huenda kuna viongozi wako wanaamin kuwa kutawala kwao na kubana demokrasia ni njia ya kuleta maendeleo,,,,? Je Africa unataka tuwaogope kiasi gani watu na viongozi wako?
Hali ya hewa yako yavutia ulimwengu,
Historia yako yavutia ulimwengu mzima, shida ulizopitia katika historia zapendeza kuchochea uzalendo, na masikio kusikia ni nzuri, huenda ni mtazamo wa tofauti.
Eh Africa, tazama ulivyoteseka na wale wa kule, shida uliyopa kuwaondoa waliofikiri wamefika kabla, lakini baada ya kugundua ni wa muda walianza weka misingi ya unyonyaji.
Sasa mbona kama walikuwa wale wakoloni hawataki achia utawala mbona inaonekana hata watu na viongozi wako baadhi hawataki achia madaraka,?
Kila siku unawaza kutengana, wenyewe wawaza kuungana....
AFRICA NAOMBA nisaidie nitajie nchi iliyoshika na kuenenda na demokrasia iliyoachiwa na waasisi wako????
Mbona wananchi wako wanalia eti wanauawa ovyo,,,, viongozi wao wanawaogopa hawawaheshimu?
Upinzani wa vyama vya siasa ndani yako Africa hivi kweli upo? Au je upo huru? Misingi yakujengwa inashindiliwa kwa kusiginwa