Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,255
- 18,049
Innallillah wainna illah rajiiun
Do poleni sana... wakati huo faru na mtoto wake wauwawa huko serengeti.... kuna conection?
wewe mammalia kila ukiandika ni pumbaArusha mauaji ya aina hii wanayaendekeza sana.
Mungu atawalipa kwa ukatili huo.
Police hawezi kujibu kila tukio la mauji , wizi na criminal kesi zote ambalo zinatokea hapa Tanzania bila ushirikiano kutoka kwa raia. Haileti tija kuwalaumu police au kuilalamikia serikali wakati raia ambao ndiyo walinzi namba moja hawashiki kwa lolote, siyo kwa kuzuia au kutoa taarifa. Mauaji hajakutokea sayari nyingine, kwa nini wauaji wasifahamike? Haiwezekani police wawepo kila mahali kwa wakati. Hakuna kitu kama hicho duniani. Lililopo raia wema watoe taarifa zitakazowezesha wauaji wakamatwe.
Acheni kuwasingizia polisi kwa kila baya linalitokea maana huyo anatakiwa kulindwa na askari wao na wala sio polisi
Acheni kuwasingizia polisi kwa kila baya linalitokea maana huyo anatakiwa kulindwa na askari wao na wala sio polisi
LAZIMA HUYU ALIKUWA NI NYENZO MUHIMU KATIKA KUPASUA MAJIPU YA TANAPA!
r i p
****
Hii habari nimeipata punde kuwa kuna Afisa wa wanyama pori kitengo cha upepelezi TANAPA mkoani Arusha amechinjwa kwa kuhisiwa kuwa ndio alikuwa na orodha ya vigogo nchini waliokuwa wanajihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu.
Kuna shemeji yake hapa ananiambia tulimtafuta toka juzi chief jana tukiwa polisi ndo tukaona gari linavutwa na majembe wakidai limetelekezwa njiro mke akaenda kutafuta funguo za spea ndo jamaa kakutwa kwenye buti.......
Nimeangalia hiyo heading inaonekana ulikuwa na papara hadi kukosea kubonyeza batan
Hebu katafute habari kamili ndi urudi tena
Mpwa naomba nikujibu kwa dhati ya moyo wangu kabisa, kuwa Polisi hawajawahi kuwa wakweli dhidi ya Chadema, hakuna hata siku moja ambapo walisema jambo zuri kwa chadema. asanteNaomba nijibu kisiasa japo kwa nukta chache!
Hivi unakubali kuwa yote yanayosemwa na polisi dhidi ya chadema ni kweli?
Mpwa naomba nikubaliane na wewe ila pia nitofautiane na wewe kwa jambo moja tu, unapokuwa kiongozi kwa ngazi yeyeoteile unakuwa ni mtu wa watu na sio wewe tena, na kamwe hizo kofia mbili unakuta hazitenganishiki kwahio suala lake huyu Marehemu haliwezi kuwa suala lake binafsi labda kama unambie kuna mahali imekua confirmed kuwa aliuwawa kutokana na issue zake binafsi kama sivyo basi inabaki kuwa suala kubwa kwa jamii nzima. Kwahio nakubaliana na wewe kuwa kuna nyakati hawa viongozi wetu wanakua na mambo yao binafsi lakini kutokana na position zao huwa ngumu kujua ni lini anafanya kama yeye binafsi na ni lini anasema kama kiongozi.Wanaweza kuwa wanakosea lakini pia wanaweza kuwa wako sahihi. Halafu kumbuka njia za kudeal na public haziwezi kuwa sawa na private. Halafu huwezi jua mhanga alikuwa na michakato gani mingine ya maisha ambayo mara zote huwa ni siri ya mhusika. Sasa anapopata matatizo kuwalaum polisi wakati katika harakati zako huwahusishi hapo sikuelewi kabisa.
Kwenye mikutano sawa, tunaweza kuwalaum kuwa huenda kuna siasa ndani yake lakini kwenye maisha ya mtu binafsi kuingiza habari hizo kwa mawazo yangu si sahihi mkuu Elli
Acheni kuwasingizia polisi kwa kila baya linalitokea maana huyo anatakiwa kulindwa na askari wao na wala sio polisi