Afisa wa Marekani aomba msamaha kwa Libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa wa Marekani aomba msamaha kwa Libya

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  10/03/2010

  [​IMG] PJ CrowleyAfisa wa Marekani ameomba msamaha kwa matamshi aliyotoa na kuonekana kuwa ni shambulizi kwa kiongozi wa Libya Muamar Gadhafi.
  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje P.J.Crowley anasema matamshi yake kuhusu Bw.Gadhafi kutaka kuwepo kwa jihad au vita vitakatifu, dhidi ya Uswizi haiashirii sera ya Marekani na wala haikuwa na azma ya kuleta ubishani.

  Crowley anasema anasikitika kwamba matamshi yake yamekuwa ni kikwazo kwa uhusiano wa Marekani na Libya.

  Anasema waziri mdogo wa mambo ya nje Jeffrey Feltman atakwenda Tripoli wiki ijayo kwa mazungumzo kati ya nchi hizo mbili.
  http://www.voanews.com/swahili/2010-03-10-voa1.cfm
   
Loading...