Tulia kijana operation ya kupambana na Ugaidi haijawahi kuwa nyepes mnachoshindwa kuelewa ni kwamba huwez tofautisha wanamgambo wa Hamas na raia wa kawaida ili kupunguza maafa kwa raia unahitajika umakini wa Hali ya juu sana na ndicho anachofanya IDF.Israel taifa lenye weledi wanashindwa kumaliza mgambo wa manispaa ya kinondoni mwezi wa 8 huu kila siku kuleta stori tu mara kauwawa nani kesho tena taarifa mpya wameua huyo huyo israel ni dhaifu sana sivyo kama watu walivyo aminishwa hamas wamewavua nguo!
Nethanyau katoka ngiri maji kwa msongo wewe wa kwa mtogole unazungumza na vidole ukiwa kitandani!Tulia kijana operation ya kipambana na Ugaidi haijawaji kuwa nyepes mnachoshindwa kuielewa ni kwamba huwez tofautisha wanamgambo wa Hamas na raia wa kawaida ili kupunguza maafa kwa raia unahitajika umakini wa Hali ya juu sana na ndicho anachofanya
IDF The end of Hamas terrorists is imminent
Ni kweli katokwa na ngiri maji ila huyo ndio kiboko wa magaidi, kwani sio kwa kipigo hicho anachokitoa, na dunia imemuacha tu afanye anavyotaka, kwani nayo imechoka, na ushenzi! Huko lebanon nako wanataka kujichanganya,.Nethanyau katoka ngiri maji kwa msongo wewe wa kwa mtogole unazungumza na vidole ukiwa kitandani!
Kipigo asingeomba msaada jamaa ni dhaifu sana!Ni kweli katokwa na ngiri maji ila huyo ndio kiboko wa magaidi, kwani sio kwa kipigo hicho anachokitoa, na dunia imemuacha tu afanye anavyotaka, kwani nayo imechoka, na ushenzi! Huko lebanon nako wanataka kujichanganya,.
Israel taifa lenye weledi wanashindwa kumaliza mgambo wa manispaa ya kinondoni mwezi wa 8 huu kila siku kuleta stori tu mara kauwawa nani kesho tena taarifa mpya wameua huyo huyo israel ni dhaifu sana sivyo kama watu walivyo aminishwa hamas wamewavua nguo!
Rudia kusoma ulichoandika wangekuwa hawapambani hao madhwalimu wauaji wanawake na watoto wasingeomba msaada wa silaha kutoka marekani!Hao mgambo wenu wamejificha ndani ya watoto na kina mama, mbona wasipambane kama ambavyo dini yenu huwa imewaamrisha, wafe wakajilie mabikira.
Msaada upi?? Yeye anahitaji ruhusa kutoka kwa mbambe wa dunia US!! tu Kwani wale wa Houthi, na hezbollah waliishia wapi? Pale waliposema ole wake, israel avamie Gaza, hata kuja kusahau, na ndio utakuwa mwisho wake!! Sasa hivi mbona anajipigia tu putin huko naye anaenda kuchoka na vita, NATO, hawataki vita viishe sasa hivi,Kipigo asingeomba msaada jamaa ni dhaifu sana!
Rudia kusoma ulichoandika wangekuwa hawapambani hao madhwalimu wauaji wanawake na watoto wasingeomba msaada wa silaha kutoka marekani!
Umekariri!Kupambana na magaidi wa uislamu sio kazi rahisi maana huwa wamejitolea kufa wakawahi wale mabikira wa alla wenu, ila hawa ni magaidi tofauti, wanaogopa kufa na kujificha nyuma ya watoto na wanawake, hivyo nguvu nyingi inabidi itumike.
Hakuna Taifa duniani linaloingia vitani pekeake bila msaada wa silaha. Na hii inaonesha jinsi gani nchi ilivyo komaa kidiplomasia. Ndio maana ya washirika waaaminufu.Rudia kusoma ulichoandika wangekuwa hawapambani hao madhwalimu wauaji wanawake na watoto wasingeomba msaada wa silaha kutoka marekani!
Wazeni kidogo kwa kina kutumia vichwa,Hamas wana ukubwa gani wa kuiombea misaada tena wana mgambo wa city wakamata kodi!Hakuna Taifa duniani linaloingia vitani pekeake bila msaada wa silaha. Na hii inaonesha jinsi gani nchi ilivyo komaa kidiplomasia. Ndio maana ya washirika waaaminufu.
Amka
Kwa nini usumbue akiba yako. Wakati kunaroom ya kitonga cha silaha. Mkataba umeahid kusaidia unatakiwa kusaidia no matter what. As long as wanashambuliwa kutoka nje ya Taifa. Au wanaingia vitani na taifa lingine.Wazeni kidogo kwa kina kutumia vichwa,Hamas wana ukubwa gani wa kuiombea misaada tena wana mgambo wa city wakamata kodi!
Sio vile mlivyo karirishwa israel ni dhaifu!Kwa nini usumbue akiba yako. Wakati kunaroom ya kitonga cha silaha. Mkataba umeahid kusaidia unatakiwa kusaidia no matter what. As long as wanashambuliwa kutoka nje ya Taifa. Au wanaingia vitani na taifa lingine.
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘hamas wamewavua nguo!
Tulieni wanakimbiza mwaka sasa hakuna jipya!Tunaona magaidi wa uislamu wanavyofanya kila siku, hivyo tunashuhudia sio kukariri.
alla wenu kawaagiza.