Afisa mkopo NMB Ngudu punguza dharau

Afisa mkopo NMB Ngudu punguza dharau

Nmb Ni Member Humu Jf
Wamfuatilie Pasko Wa Ngudu Nmb Anapenda Sana Umatemate Hivi Hajui Mwl Pesa Akikopeshwa Na Riba Imo Halafu Anataka Mgawo Kama Pesa Ya Deals

Kusema Ukweli Na Tuache Majungu Nchi Hii Imeoza
Bank Ukitaka Mkopo Yaani Lazima Utengenezewe Hali Ya Rushwa/Hongo Kwa Kila Hatua

Crdb/Nmb Hizi Banks Zina Matawi Sehemu Kubwa Ya Nchi Hii Basi Utakutana Na Wanafanyakazi Wao Wenye Vitambi Vya RUSHWA Miili Yao Yote Tena Hawana Aibu

Banks Sasa Hivi Hazina Wateja Eti Wanacheza Karata
Mteja Kaenda Kuwapa Kazi Ya Kumkopesha Tena Anaombwa Bahasha
 
Yaani kuna vimtandao haswa benki ya pbz eti pesa ikiingia utaona visimu vinaanza.tayari nimesha kuwekea sasa kumbe hakuna lolote mkopo umechelewa kwa njaa zetu eti ye ndio kaweka
 
Naandika uzi huu nikiwa na hasira mno.

Hasira na gadhabu yangu imepandishwa na huyu afisa mikopo wa benki yetu makapuku ya NMB. Hivi sijui tuite uzembe au dharau ama kiburi cha majinuni.

Mtu unaoprocess mkopo wiki mbili mkopo hauupati. Eti afisa mikopo Yupo!!

Mbaya zaidi unapigiwa simu saa za kazi hupokei.

Kila nikiomba mkopo huwa kuna mazingira ya rushwa unayaunda kiasi kwamba huwa unawachelewesha mikopo ili upewe kitu kidogo ndo uniwekee fedha.

Binafsi umenikera mno.kwa majibu unayotoa sometime ukibahatika kupokea simu yangu.ooh Mara fomu bado ziko halmashauri, wiki mbili??. Afu umekaa kitini comfortably kabisa?

Bora Kama mkopo umeshindikana unasema.

Kumbuka tunaokupa jeuri ya kuitwa afisa ni Sisi walala hoi!.

Ushauri wangu 😛unguza dharau kijana utadumu.

Ndimi :muhakikiwa wa kila Mara!
punguza munkali.....ufanyiwe uhakiki......usije ukawa mtumish hewa unatafuta penshen....
 
Yaani kuna vimtandao haswa benki ya pbz eti pesa ikiingia utaona visimu vinaanza.tayari nimesha kuwekea sasa kumbe hakuna lolote mkopo umechelewa kwa njaa zetu eti ye ndio kaweka

Duh, ila ninachofahamu issue ya Ku approve mkopo sio afisa peke yake. Kuna issue za credit committee kujiridhisha at a reasonable doubt and risk. Pia wakati mwingine ulipaji Wako on previous loans unaweza ukasababisha mkopo Wako kuchelewa. Tatizo wakopaji wachache wanajielewa ila majority wanasumbua sana. Kuna wakati unafika branch inabidi isitishe Ku issue new loans ili waweke nguvu kwenye kudai wateja wasumbufu. In that case issue zingine huwa zinawekwa pending
 
Hawa NMB maofisa mikopo wao wananuka rushwa yaani ni tabu tupu mfano nimewahi kwenda NMB ya mlimani city,magomeni n.k ni rushwa tupu ukitaka ufanikiwe wanakutaka utoe mkwanja kidogo halafu unaweza kufikiria ni vijana ndiyo wanataka rushwa ila ni vijimama sijui vinastaafu hata lini vinanuka rushwa tupu,yaani tena kwanza kama wewe si mtumishi ndo utalia coz ili aje kwa tathimini ya jengo au biashara yako mtaani ili upate mkopo yaani watakukamua sn kweli wanaboa sn
 
Duh, ila ninachofahamu issue ya Ku approve mkopo sio afisa peke yake. Kuna issue za credit committee kujiridhisha at a reasonable doubt and risk. Pia wakati mwingine ulipaji Wako on previous loans unaweza ukasababisha mkopo Wako kuchelewa. Tatizo wakopaji wachache wanajielewa ila majority wanasumbua sana. Kuna wakati unafika branch inabidi isitishe Ku issue new loans ili waweke nguvu kwenye kudai wateja wasumbufu. In that case issue zingine huwa zinawekwa pending
Bora kunieleza wazi mapema kuliko kunijazisha mifomu lukuki afu nisifanikiwe lengo langu.by the way mi ni mwajiriwa WA serikali Kwa hiyo kwenye marejesho huwa ni juu Kwa juu.

Usiteteee upuuzi
 
Pung
Bora kunieleza wazi mapema kuliko kunijazisha mifomu lukuki afu nisifanikiwe lengo langu.by the way mi ni mwajiriwa WA serikali Kwa hiyo kwenye marejesho huwa ni juu Kwa juu.

Usiteteee upuuzi
Punguza njaa kijana...unafikiri Pasco anatoa hizo pesa nyumban kwake..fata utaratibu tulia..km umenuna nenda kwenye bar ya pasco upate kili baridi..au depo kwake akupe kreti kabisa.
 
Back
Top Bottom