Mkuu Kwani mikopo imesha anza kutolewa? Nilisikia imesitishwa....Ngudu ipo mwanza wilaya kwimba in shòrt uyo Pasco ni mchaga mpuuzi sana alisha nizingua sana are Mimi nikaenda crdb jana maana kbs alishazoea madili we mtangazie home jst siku moja tu umechukua mzigo
Sasa usiende j3 atakuwa amekunote humu nenda j4Ntalifanya hili jumatatu
[emoji23] [emoji23] kwanza mpk sasa hivi taarifa anazo na anapata bfore j5Sasa usiende j3 atakuwa amekunote humu nenda j4
Ntajua mwenyewe
Maofisa mikopo ni shidah!Inashangaza tunapohitaji haki zetu tumnyenyekee as kwamba anatupa bure
Nchi ya Kitu kidogooooooooooo,Naandika uzi huu nikiwa na hasira mno.
Hasira na gadhabu yangu imepandishwa na huyu afisa mikopo wa benki yetu makapuku ya NMB. Hivi sijui tuite uzembe au dharau ama kiburi cha majinuni.
Mtu unaoprocess mkopo wiki mbili mkopo hauupati. Eti afisa mikopo Yupo!!
Mbaya zaidi unapigiwa simu saa za kazi hupokei.
Kila nikiomba mkopo huwa kuna mazingira ya rushwa unayaunda kiasi kwamba huwa unawachelewesha mikopo ili upewe kitu kidogo ndo uniwekee fedha.
Binafsi umenikera mno.kwa majibu unayotoa sometime ukibahatika kupokea simu yangu.ooh Mara fomu bado ziko halmashauri, wiki mbili??. Afu umekaa kitini comfortably kabisa?
Bora Kama mkopo umeshindikana unasema.
Kumbuka tunaokupa jeuri ya kuitwa afisa ni Sisi walala hoi!.
Ushauri wangu 😛unguza dharau kijana utadumu.
Ndimi :muhakikiwa wa kila Mara!
dah namfahamu vizuri anaitwa paschal bila ya kumtoa elfu 50 au kilo mkopo utazungushwa mpaka uchoke, anasingizia hela hiyo anawapa utumishi wa kuingiza makato na meneja wa benki. katupiga sana hela, sasa hv kafungua bonge la hotel na club ndo kaongeza madharau balaa
sasa si atamnote tena kuwa ni waj4? ila maafisa mikopo huwa na ujivuni sana.Sasa usiende j3 atakuwa amekunote humu nenda j4
mtaje tu hizi ni zama za kutumbuana mkuu!
Mafanikio yenyewe hayataki tufanikiweFunguka vizur usaidiwe, ni wa mkoa gani na tawi gani la NMB.
Mafanikio yenyewe hayataki tufanikiweFunguka vizur usaidiwe, ni wa mkoa gani na tawi gani la NMB.