Afisa elimu sekondari (w) kibondo ni fisadi

Mkulima wa kawaida

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
167
Reaction score
37
Katika hali isiyo ya kawaida afisa elimu sekondari (w) kibondo ameamua kujipa tenda za kutengeneza samani ktk shule zote za kata wilayani humo wakati kuna wajasiliamali wengi wanaoweza kufanya kazi hiyo. Pia amechukua tenda ya kujenga madarasa pamoja na nyumba za walimu kinyume na sheria inayozuia kuwa na maslahi binafsi kwenyf miradi ya serikali. Nawasilisha.
 
Mkuu hebu funguka zaidi umefumba mambo mengi hapa,unaposema samani unamanisha kwamba ni kuanzia madaati,meza,viti vya ofisini na makorokoro yote,au?,pili,anatumia kampuni gani kwenye tenda hiyo?,Tatu hiyo kampuni yake ya kujenga nyumba n vyumba vya madarasa na nyumba za walimu inaitwaje mkuu,jaribu kuwa muwazi kifunguka kidogo ili apewe za uso!!
 
Back
Top Bottom