Afisa elimu, mkuranga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa elimu, mkuranga

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Aikasa, Apr 13, 2012.

 1. Aikasa

  Aikasa Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani huyu mama, ndio amehamishiwa wilaya ya mkuranga kikazi kuwa afisa elimu. Yeah, amekuja na mikakati yake kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu wilaya ya mkuranga!
  Lakini atambue kuna changamoto kadhaa zinazoikabili wilaya hii kwa upande wa wafanyakazi wa wilaya hii:-
  1.Mazingira magumu ya kufanya kazi.
  2.Idadi ndogo ya walimu kwny shule.
  3.Ukosefu wa vifaa vya kujifunzia/kufundishia.
  4.Nyumba za walimu.
  5.Madai ya walimu
  .
  .
  .
  Kama, wewe unajua changamoto nyingine jaribu kufunguka!
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wilaya hii pia watu wake wengi hawajakwenda shule hivyo limekuwa pango la walanguzi kuchukua rasilimali zote,yaani wafanyakazi wote kila sekta ni wageni wa mikoa mingine,hivyo napenda nimkumbushe huyo mama amwombe mungu afanikishe,watumishi wa wilaya hii wanapokea mishahara tarehe 39,madaraja ya watumishi wote yanapandishwa pale ngoma za kizaramo zinapomalizika,pia nimalizie kwa kusema mkoa wa pwani bado Mkoloni mwarabu hajatoka.
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hizo changamoto sio za Mkuranga pekee yake ni za nchi nzima.
   
 4. Aikasa

  Aikasa Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Yeah, uko sawa kabisa! Amepandisha madaraja walimu tangu mwezi wa 9 mpaka leo watu hawajapokea mshahara waliorekebishiwa! Hii wilaya nadhani nimekuja kimakosa!
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  yanabadilika
  Ha ha ha pole sana Mkuu. Polepole mambo yanabadilika Kaka. Mama yako amepaishwa Aikasa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Anaitwa mama Ngonyani ana diploma ya ualimu aliwai kufundisha zanaki girls miaka ya 80 hadi 98.tatizo alilonalo anachukia sana walimu wenye degree anapenda sana ligi
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Unadanganya... au umechanganya Mada. DEO wa Msingi anayezungumzwa hapa ni Bi. Mayassa Hashim. Hakuna DEO mwenye Diploma sasa hivi sifa ni lazima uwe na degree ya kwanza na uzoefu wa miaka kadhaa (Mingi). Namfahamu sana Mama Ngonyani ana huruma sana ila tu ana jazba fulani na hasira za haraka lakini ni mtu mzuri sana ukimjulia giraffe. Cheo cha DEO ni Mkuu wa Idara so huwezi kuwa na diploma halafu ukashiak nafasi hiyo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  6, Utoro wa walimu.
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu kumbe kuna wakati unatoa pointi eehhh? zomba!! Hili la utoro wa Walimu ni tatizo sana.. halafu wanaishia kulalamika tu kwamba serikali haiwajali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu serikali haiwajali ndio maana wanaamua kuwa watoro!
   
 11. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hiyo sio Justification ya utoro...kwanini wasiache kabisa kazi?@Chatumkali
   
 12. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wilaya hii inamazingira magumu kweli, kuna shule ziko visiwani mpaka upande mtumbwi ndo unafika huko ni mwendo wa kuvua samaki tu. afadhali ya shule kama chamgoyi, mkongo, kizomla, kibudi, mbezi muungwana,panzuo, nyamato. kisele.
   
Loading...