KERO Afisa Ardhi wa Maswa amekaa muda mrefu kituoni hapo, ufanisi wake umeshuka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanantogakulya

Senior Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
158
Reaction score
157
Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo utaratibu ulivyo.

Soma pia:
 
mabadiliko tunataka mabadilikooo
 
Back
Top Bottom