Afghanistan: Hamad Karzai Declared President | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afghanistan: Hamad Karzai Declared President

Discussion in 'International Forum' started by Mambo Jambo, Nov 2, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Afghan election commission declares Hamad Karzai as elected pres.

  MJ
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  More news! No re-election?
   
 3. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Abdullah Abdullah was withdrawn from the run off election... sasa siingekuwa ujinga to hold an election?
  Ila legitimacy hapa inatia shaka sana....
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Na hapo ni shame kwa UN, na kibarua kizito kwa Obama na siasa yake ya Afganistan....jamaa alivojitoa ndo kaharibu kila kitu!

  kama ulivosema mkulu, wakiachia bila uchaguzi, legitimacy na integrity..pamoja na confidence level vitapungua sana

  Wakifanya,,it does not make sense kwa vile wanahitaji gharana kubwa za security na pia risk ya watu zaidi kuuwawa na mataliban!

  kazi ipo
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Na jamaa naona ameshakuwa officially declared Afghan President for the second time!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  He will continue being the president, but, he should prepare his mind with the sufferings associated with mistrust in his coming term in the office.Imagine, even Afghanstan, with all the problems, people are still willing to rig the elections.
  kazi ipo sio mchezo
   
 7. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unajua haya mambo ya kuja na kuanza kupayuka payuka si vizuri embu jaribuni kuelewa kwanza viini vya mambo Haki-Ya-Mungu.

  UN hawana askari wengi huko, wala aitupi hela huko wanao gharamia hela zao wanamtaka huyu Jamaa regardless of the uncertainity sorrounding the past election. Kuna mashambulizi kila kona, the last thing they want is someone who has a different perspective of how things should. Sasa hivi the goal is to stabalize the region and kick out the Taliban. Sasa sijui kelele za nini na lawama zisizokua na maana.
   
 8. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nadhani atasawazisha mambo na kujipa uhalali kwa kuunda unity gvt yenye abdullah ndani
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Invaders get out afghanistan mashetani wakubwa (US and its allies)..ondekeni acheni watu na maisha yao na dini yao lol..karzai ni CIA agent hana jipya
   
 10. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135


  wewe Usiingilie mambo Haya ujui kiini chake kwani Karzai leo kaifikisha hapa Afgan walikuwa hawakohoi sasa inataka kufanya kama ya Zimbabwe. Karzai unda Serikali makini usiogope. Mtu mzima atishiwi nyau....
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nani kasema ingekuwa ujinga ku hold election? Kwa sababu gani?

  Mbona Zimbabwe Tsvangirai alivyojitoa Mugabe akaendelea na sham election yake? Angalau Mugabe kashinda a sham election, kaonyesha effort. Huyu Karzai kashindwa hata kumalizia ngwe ya peke yake?

  Vipi kama katika raundi ya pili wananchi wangeharibu kura zao zote kama protest? Angeshinda?

  An election is an election is an election, na kama hakushinda ule uchaguzi wa kwanza haina maana asishiriki kwenye wa pili kwa sababu hana mpinzani, bado hajashinda ati?

  Sasa watamuapisha mtu ambaye hajashinda uchaguzi?

  Hatari!
   
 12. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I cant believe UN is allowing this to happen under its name!! how can you skip an election and declare someone a president??..on what basis? security? money? time?..You cant skip an election ..even if there is a 1,000,000,000% chance that the guy will be elected by majority to be a president. You cant declare someone a president of a country on mere assumptions that the guy will achieve enough numbers of votes to be a president!..They could have let the election process legitimized it and not otherwise!
  Im feeling very sorry to Obama too by allowing this to happen!..they could have conducted an election to legitimize the guy and not skipping it!
  I'm just wondering if UN could do the same thing in Zimbabwe? and declare Mugabe the presidaa!!

  Iam totally confused on how UN define democracy!..Is this what they mean?

  Now i see UN is becoming a department of USA and other western countries...

  OK jamiiforums ....What is democracy? can one define it for me?

  Wembe.
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe unajua kiini chake?...invaders must leave and justice must prevail..wapuuzi tu hawa americans kuvamia ma-nchi ya watu..nakuweka agents wao..for resources and religion reasons mashetani wakubwa ..lol ..
   
 14. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Religious aside:

  Unajua Tumaini we saa zingine huwa una angalia dini kuliko kupima haya mambo yenyewe. Taliban wasi-tumie dini kukupora akili, kama wanavyo wapora akili vijana wengi toka familia maskini kufanya upuuzi wao na kuwalipua hawa watoto.

  There are differences between the Taliban, Al-Qaeda and many other Muslim organisation majuzi tu Hamas walikua wanalipuana mabomu na Al-Qaeda iliyokua inaanza kujitokeza huko Palestine. Lazima uelewe kila mtu anasimamia nini. Ni waisalamu hawa wote na wote wana agenda zao.

  Kukuelezea vyote ni tabu hila ntajaribu kukuelezea why Taliban are not good.

  1. Kwanza Taliban concern is Afghanistan only
  2. Hawa jamaa wanasera ambazo zina abuse human rights to the extreme.
  3. Yaani hawa sera zao hazina tofauti na dicteta yeyote duniani
  4. Hawana support Afgani nzima hila ubabe ndio walitumia kutawala
  5. Afganistan ni nchi ambayo imegawanyika ajabu ajabu na US invasion ilikosea strategy kwani Taliban ilikuwa na maadui kila kona na walikua wanapigana illa jama walikua hawana support na umoja wa kusaidiana kwani ni kama vita ya kikabila.
  6. Jamaa wanataka watu waishi ki lazima kwa namna fulani upende usipende mpaka leo bado wanalipua shule za wanawake,
  7. We kweli kama uta tetea upuuzi kwa kweli utakua unamatatizo kichwani

  Nakubari ya kwamba US wamefanya makosa, lakini kosa ilikua ni jinsi ya kuitoa Taliban. Kama unajua ukweli wenyewe Taliban walitolewa na kabila moja tuu Kabul, kwa msaada wa CIA agents. Tatizo ni America kuingilia kati na kutuma hawa askari ambao hawa elewi wala hawa respect other religious. An average soldier is just an ignorant man in a society.

  Ni mengi ya kueleza ili uelewe hila embu jaribu kuelewa viini vya mambo sometimes. Karzai alishinda uchaguzi hila anatakiwa awe na more than 50% of the votes. Hivyo kwa mujibu wa UN si mshindi. Lakini election Afghanistan unakuja na vitu vingine expences for the security forces kwa sababu the're presence is vital, vitisho kwa wananchi, mabomu mitaani, lost of lives na sababu zingine nyingi ndio maana jama akaona kulikoni.

  Na mtu ambaye anasema mwanamke hana haki ya kupata elimu.
  Mwanamke ni mtumwa tu wa kukaa nyumbani, naa kuwapangia watu waishi vipi kwa kutumia jina la Uislamu si muislamu.
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndugu usilifurahishe baraza...?
  1. Kwa mawazo yako Wamerakani (invaders) walienda afghanistan kwasababu wanamuonea huruma sana mwanamke wa kiafghanistani that is totally blind line of thinking...lo. agenda yao ni kueneza dini Ukristo na kuchukua resources..so many documentaries and evidences has been revealed..hakuna haja ya kupteza muda kueleza kila...let call the spade the spade..
  2. wangekuwa na huruma hata tone wangeanza na saudia ambayo wanawake treatment zake na afghanistan is almost the same...
  3. Je wanawake wamekuwa better off baada ya mabomu na kuua watoto, kuharibu makazi na kuweka wauza unga (karzai) kama viongozi kwenye jamii iliyokua na mfumo wake wa kikabila..lol..millions of childrens and innocent people were killed kwasababu ya uvamizi wa kishetani pumbavu zao...ili kueneza dini kwa nguvu na kuchukua resources this is big shame..
  4. Karzai ni CIA agents hata ingekuwaje the results of the election is well known and predictable kwa hiyo wasidanganye ulimwengu kwamba kuna kitu kinaendelea hapo..lol
  5. Afghanistan leadership system ni mtindo jirga ambao makakbila yanaamua serikali kuu wamerakani wameleta a very stupid thing (call it demecracy) kwenye jamii yenye system zake kwa agenda zao mabazo wewe hutaki kuzisikia japo ni Ukweli..yaani UDINI na Resorces finito..aibu zao na ushetani wao una mwisho...
   
 16. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sasa hawa Taliban walikua wanapigana na nani? before the American Invasion. Na hawa waliokua wanapigana nao walikua wanapigania nini?

  Unajua we have to raise some questions at times, rather than let our ego's take full control on what we believe in. Its best we try and justify human rights first before we bring our beliefs into the debate.

  Nakubaliana na wewe a spade is a spade lakini si kwa namna yako. Therefore uwezi kutetea abuse of human rights, eti kwa sababu the perpetrators are of ur religion. Unajua it was Iran who used to support other tribes to fight the Taliban na sijui kama kuna nchi ambayo inajaribu kusimama against western policiess kama Iran.

  Na kitu kingine the invasion of Afghan had nothing to do with ur reasons. Afghan was where Osama Bin Laden was living nadhani unaelewa, na before the invasion the Bush administration gave them time to hand him over or face the consequences, they chose the latter.

  Apart from that Afgan was becoming a safe heaven under the Taliban for extremists muslims and a training ground for future terrorism. Those were the reasons to invade. Na hili ni tatizo, as you can see now what they are doing to the people of Waziristan wamekimbilia huko kwa sababu Afgan imekua tabu tena.

  Kwa nini motives za wachache ziwaletee shida wengi wa dini moja. Sasa embu angalia hawa jamaa wanavyoaribu huko Pakistan haya raia wamewakosea nini. Au Pakistan nayo inataka kuwabadilishia dini yao pia, jaribu kuwa rational instead of being irrational in justfying your arguments.

  Nadhani its about time ukue na uelewe what to defend on the basis of your religion, you're entitled to express your views freely. Lakini try and draw a line on what is right and what is not.

  The suffering of others in the name of religion is something you shouldnt endorse. Ntakubaliana na wewe labda kwenye ushenzi wa Iraq lakini not Afgan and the Taliban hawa watu si wazuri.
   
 17. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2009
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Democrasy??? means:- "Rule by the people".

  But what is what is pushed down the throats of the worlds' nations today has got a prefix before it:- "Western" that is "western democracy" which means:-

  "A political tool/system which is sometimes imposed militarily and supported by some types of remote controls such as UN, EU and the like aiming to spread Western and capitalist civilisation" . A bit like "Western Demo-CRAZY"

  Having witnessed what you have witnessed so far, can you differ???
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Juma,
  i. Taliban walikuwa na pigana na Wa russia kwasababu walikuwa wamefanya invasion kama walivyofanya wamerakani ...sasa..
  ii. Abuse of human huo ni upuuzi unaofanywa zaidi na merakani kuliko nchi yeyote duniani....Quantanamo, palestinaes case. and other cases are vivid examples kwa hiyo hawako Afaghanistan kwasababu ya kwamba wanawaonea hurma wafghan..NO NO big NO..wako pale kwa faid zao ambazo if you like to call the spade a spade ni DINI na MALI..finito..
  iii. Invasion ni kwasababu ya OSama..damn..hapo ndio unakofurahisha baraza..ndugu..Osama ni ideology ambayo haipo kabisa..hakuna serikali imeshindwa kumkatamata osama..lol..Osama mwenyewe ni agent wa CIA kuendeleza agenda zao..unaweza kusema wameshindwa kumkamata osama pakistani..siku zote lol NO NO big NO
  iv. Afghan imekuwa heaven ..lol. hawa materorrist wameanza kuwe wengi baada ya uvamizi before that hakukuwa na watu wa aina hiyo..hizo propaganda za wenye kula damu ya watu kwa mabomu does not change peoples resistance to injustice..never.
  v. kwanini mtives za wachace ziumize wengi..yes that is the point kwanini motives za watu wachache wenye uroho wa mali na kueneza dini zao kwa nguvu..usababishe mauaji ya watoto, wanawake, na kuharibu makzi ya watu...kwanini? this the big shame for americans and people who support them...lol
   
 19. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  OK mkuu I see you have made up ur mind already. Lakini ebu jaribu kuangalia haya Hawa Taliban wanavyo piga mabomu kuzuia watu wasiende piga kura utapata kweli hiyo democracy.

  All in all the country is unstable with many ideologies floating above it. My arguments is people should be allowed to express themselves freely without fear of the Taliban regime.

  Russia left taliban long ago and the Taliban still fought with other tribal groups not because of power but the ideology they impose upon people. I suggest you find a book that elobarates what they stand for and believe me democracy is not in their agenda. My view in life is dont take away individuals autonomy by force.

  Kwa-heri

  Ps sijui kama umepata habari ya kwamba somalia jana kulikua na mini mashambulizi kati ya Islamists na Pirates. Islamists wanawataka hao wa british for different motives. Probably kuwanyonga tu sasa hawa nao wamewakosea nini.
   
 20. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i. Unachanganya madawa...somalia is another issue tunaweza kuweka thread yake kabisaa..kwahiyo siwezi kuongelea hiyo..kwa sasa
  ii. Taliban walipoondoka Russia walitawala nchi hiyo ikatulia kukawa of course na war lord wachache ambao hawakuwa issue sana..mpaka walipovamia America ambao pamoja na mambo mengine wamerakani wana walipa Wauza unga,(karzai etc)and War lords wauue raia na watoto (just kudestabilize taliban) nani shetani hapo..lol America call spade a spade
  iii. Bottom line..evil (invader) America aondoke aache wafghan waamue democrasi yao..siyo hiyo ya kupiga kura lol..hiyo huko haifanyi kazi..hiyo ni western way of thinking ..wewe unafikiri ni uchaguzi tu ndio namna ya kupata viongozi??? hapo ndio unapokosea.."they have their own local way of electing leaders" kwanini America ije iimpose unwanted process kwa mabomu..lol..damn
   
Loading...