ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,035
- 49,714
Kichwa cha somo chahusika,moja ya timu zinazocheza soka zuri msimu huu wa mashindano ya afcon ni Zimbabwe lakini inashindwa kupata matokeo,shida nini?
Mechi na Egypt ilionesha ubora wa Zim,mechi ya Uganda waliitawala na kushambulia sana lakini ndo hivyo wakaambulia sare,Zimbabwe inakosea wapi?
Mechi na Egypt ilionesha ubora wa Zim,mechi ya Uganda waliitawala na kushambulia sana lakini ndo hivyo wakaambulia sare,Zimbabwe inakosea wapi?